Nyabhakangala
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 841
- 793
Asee!! Asante sanaMtafute chura, afu amkojoleee..
Hii ilinitesa sana hadi niko Form 4 ndio nikafanikiwaa baada ya huyo mzee kunielekezaa
Yani akiamka asubuhi, ule mkojo wa kwanza ndio amkojolee chura... then asema sitakojolea tena kitanda.....
Huo mkasi unaweka kila siku au siku moja tuKama unasumbuliwa na mapepo au uchawi nyakati za usiku
Chukua mkasi na uweke katika Bible, kwenye zaburi 91 na baada ya kuweka mkasi chukua Bible na uweke chini ya mto alafu lala, utanishukuru baadae
Kama bado hujapata tiba nichek DmNdugu zangu tatizo la uoni hafifu linazidi kuwa kubwa siku baada ya siku. Mwenye kujua dawa ya asili ya kupunguza au kusaidia anaweza weka hapa tukafaidika natanguliza shukran.
Mkuu tiba ya uti suguKuna namna Yake ikifanywa unapata kazi fasta na ukishapata hakuna wa kukufukuza wala kukutetemesha,mpaka ustaafu wako!
Ilishaelezewa mkuu fuatilia Uzi stepbystep!Mkuu tiba ya uti sugu
Sure 100% hii
SwaumMsaada jamani dawa ya kurudisha hali ya mzunguko wa kawaida wa hedhi..mana kuna kipindi inatoka hata zaidi ya wiki 2.
Pia kuna kipindi inatoka kidogo tu hata siku 2 inakata.
Vipimo vya hospitali vinasema sina tatizo zaidi ya hormonal imbalance nilishawahi tumia sindano za uzazi wa mpango kama miaka miwili nyuma.
Msaada nipo katikati hili.
Kweli mkuu bora ukiuze tu mi mwenyewe nilikipataga kwa pesa enzi izo ni vigumu kukipata sana