LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Unaonakena imani ya yule mzee imekuponya.Mtafute chura, afu amkojoleee..
Hii ilinitesa sana hadi niko Form 4 ndio nikafanikiwaa baada ya huyo mzee kunielekezaa
Yani akiamka asubuhi, ule mkojo wa kwanza ndio amkojolee chura... then asema sitakojolea tena kitanda.....