Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Saga carbon zinazopatikana kwenye betri zilizotumia kaunga kake uwe unapaka / unamassege kwenye nyusi Kwa mbali sana na sio iwe kama wanja,fanya hili kwanza Kwa siku 14,huku ukijiangalia achievement zako pia achana na smartphone wakati wa tiba hii sasa sijui utafanyaje maana maisha yetu hutegemea simu,na hats PC au laptop.
Wakati natumia io tiba, niendelee kuvaa miwani yangu au niache?
 
Sina hizo changamoto zote, na nilishaenda hospital nikaambiwa suluhisho ni kuvaa miwani Na ndo natumia hadi leo.
Sasa kama njia mbadala naweza kuwa sawa, ntashukuru
Sawa, tafuta mbegu za mti wa macho ya fufu utumie kumeza mbegu moja Kila mwaka.
 
Mungu ana makusudi makubwa Sana kutuwekea miti na mimea katika maeneo yetu. Mimea ni tiba, ni chakula ni kinga. Watu wanarogwa au kuwa masikini au mabalaa au mikosi sababu awataki kutafuta maarifa.

Pana mimea ukiitumia ukukinga na maradhi ya kibaiologia na maradhi ya kiroho yaani ukiitumia utougua ugonjwa wowote maishani mwako na wala kurogwa au kudhurika na nguvu za giza kwa maana ya wachawi, mikosi, laana mabalaa nk. Utakuwa na kinga zote za kimwili na kiroho utaishi uzee mwema.
Ndo utuambie hapa ni ipi hiyo
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20221001-205325.png
    Screenshot_20221001-205325.png
    54.8 KB · Views: 92
Back
Top Bottom