Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Mtafute chura, afu amkojoleee..

Hii ilinitesa sana hadi niko Form 4 ndio nikafanikiwaa baada ya huyo mzee kunielekezaa

Yani akiamka asubuhi, ule mkojo wa kwanza ndio amkojolee chura... then asema sitakojolea tena kitanda.....
Unaonakena imani ya yule mzee imekuponya.
 
Kitaalamu kinachoangaliwa kwenye mimea ni healing properties,zilizopo ndani Yake,na tukumbuke kila mmea una property zake katika tiba,kitu ambacho wazungu huganya ni kuabsorb properties hizo au kutengeneza artifial yaani kitu kinachofanana na properties husika kwa wingi.na hatimaye kuzalisha dawa wa wingi,sasa kwakuwa mimea tunayo ni bora kutumia hizi tuite fresh,kuliko zile za artifial.
 
Naomba Dawa ya Chango kali
 
Naomba Dawa ya Chango kali
Pitia Uzi polepole kuna jani lilisha wekwa humu,chukuwa hayo majani changanya na mizizi ya mitula tula chemsha ukitanguliza mizizi hiyo ya mitulatula ikifuatiwa na hayo majani kunywa asb na jioni kikombe cha kahawa.,utapona.
 
Ndugu anaejua suluhusho la kutoona mbali.
Msaada maana hii hali inapoelekea hapana
Kutoona mbali kunasababishwa na matatizo tofauti hivyo mpaka utibu chanzo, mfano uzee, pressure, sukari vyote hivyo vinaleta shida ya uoni hafifu, wale wamama wanaotumia uzazi wa mpango pia wengine hulalamikia uoni hafifu Sasa wewe sijui tatizo unaona linasababishwa na nini?
 
Mbona wakina Mama wanalitumia kwa kunywa wanaliita Jani la Uzazi na wanalisifia linawasaidia
Katika herbal sci wamekataza / hapo inatumika principle ya "use at your own risk" but mmea huo una asili ya antibiotics,kama PARACHICHI lakini parachichi tunakula.
 
Kutoona mbali kunasababishwa na matatizo tofauti hivyo mpaka utibu chanzo, mfano uzee, pressure, sukari vyote hivyo vinaleta shida ya uoni hafifu, wale wamama wanaotumia uzazi wa mpango pia wengine hulalamikia uoni hafifu Sasa wewe sijui tatizo unaona linasababishwa na nini?
Sina hizo changamoto zote, na nilishaenda hospital nikaambiwa suluhisho ni kuvaa miwani Na ndo natumia hadi leo.
Sasa kama njia mbadala naweza kuwa sawa, ntashukuru
 
Ulaji wa vitunguu kiasi 400mg ya uzito wako Kwa siku hupunguza sugar level ya mwili wako Kwa 50%.
 
Sina hizo changamoto zote, na nilishaenda hospital nikaambiwa suluhisho ni kuvaa miwani Na ndo natumia hadi leo.
Sasa kama njia mbadala naweza kuwa sawa, ntashukuru
Saga carbon zinazopatikana kwenye betri zilizotumia kaunga kake uwe unapaka / unamassege kwenye nyusi Kwa mbali sana na sio iwe kama wanja,fanya hili kwanza Kwa siku 14,huku ukijiangalia achievement zako pia achana na smartphone wakati wa tiba hii sasa sijui utafanyaje maana maisha yetu hutegemea simu,na hats PC au laptop.
 
Back
Top Bottom