Kisukuma yanaitwa makale yanatoa majimaji meupe ukiyalamba maji yake kama yana ukakasi hivi, nikiwa mdogo nilikuwa na tatizo la kutokwa na damu mdomoni yaani kwenye fizi, Mjomba wangu akawa ananisugua kila siku jioni kutumia mti wa mmea huo maumivu yake ni balaa nilipona tatizo hadi leoDawa ya vidonda mdomoni. Jina silijui ila miti yake inapatikana sehemu nyingi sana tzView attachment 2399831
Huoni aibu ndugu...Na ukitaka kufarakanisha u azitumiaje?? Ninazo za kutosha
M-Bangi na Moringa ndio mimea kidedea kwa matibabu katika dunia hii.Kama haujataja mmea pendwa basi huu Uzi ni useless
Choma pilipili wataondoka watake wasitakeWakuu mimi kuna hawa viumbe wapo wengi sana mahali ambapo natarajia kuhamia hivi karibuni (POPO) ni kijijini na nyumba za kupanga kwa huku ni changamoto sana. Sasa naombeni msaada namna ya kuwaondoa humu ndani au hata chumbani kwangu tu wasikae kabisa maana wanakunya si mchezo na nyumba bado haijawekwa silly boards,, nyumba ina rooms nne.
Nisaidieni wakuu [emoji120]
Shukrani sana 🙏Kijiko kimoja cha karafuu ya unga kwenye gras ya maziwa ni tiba ya magonjwa haya waweza ongeza na turmeric kidogo kwa tiba bora zaidi.
✔Tiba ya uzazi (ugumba)
✔Tiba ya homon kuto kuwa sawa
✔Tiba ya moyo
✔Tiba ya tumbo
✔Tiba ya ini
✔Tiba ya mapafu
✔Tiba ya pumu
✔Tiba ya mafua
✔Tiba ya kikohozi sugu
✔Tiba ya pua zilizo ziba
✔Tiba y kukosa kumbukumbu na kuto kuelewa
✔Tiba ya ges tumbon na utumbo
✔Tiba ya udhaifu wa misir
✔Tiba ya upongufu wa.madini
✔Tiba ya kibofu cha mkojo na mkojo kutoka bila ya hiyar
✔Tiba ya meno na fidhi (pia ni kinga)
✔Tiba ya macho (maono hafifu)
✔Tiba ya chunus
✔Tiba ya uvimbe wa ngozi na kumwa na mdudu
✔Tiba ya kudhibiti kiwango cha sukar ya damu na kudumisha viwango vyake
✔Tiba ya kuongeza ute kwenye maungio ya mifupa
✔kinga dhidi ya saratan
✔Tba ya baridi bronchitis Koo iliyo na dawa ya kulevya na tonsillitis
✔Tiba ya hemorrhoids na analitis
Also act as a powerful anti-aging utabaki kijana kwa muda mrefu kupita kiasi.Shukrani sana 🙏
Mkuu kuna siku ulisema neno kuhusu viazi vitamu kupikwa na maganda yake ikiwa ni tiba ya kuulinda ujana ukila na maziwa je ni maziwa fresh,au mgando ,na je hivyo viazi unakula na maganda yake au ukishapika na maganda inatosha hata ukila bila maganda asanteAlso act as a powerful anti-aging utabaki kijana kwa muda mrefu kupita kiasi.
NI maziwa fresh mkuu, utachemsha na maganda yake lakini wakati wa kula utayamenyea mezani ndio ulikuwa utaratibu wa babu zetu. In fact duniani kote kuna Vita ya kuupinga uzee au tuseme binadamu anapigana ili kuaona aweze kuishi zaidi lakini katika afya yake nzuri huku mwili ukijirepea kwa kutumia vyakula vyetu vya kienyeji, karafuu imeonyesha uwezo mkubwa wa kushindana na hali hii kwa mfano Unga wa karafuu utakapouchanganya na mafuta asili ya nazi ukatumia kujipaka utashuhudia shikamoo zikipungua, handiness ya kidevu sugu kwa kunyoa ndevu itaondoka infact utastaajabu sana let practise in it.Mkuu kuna siku ulisema neno kuhusu viazi vitamu kupikwa na maganda yake ikiwa ni tiba ya kuulinda ujana ukila na maziwa je ni maziwa fresh,au mgando ,na je hivyo viazi unakula na maganda yake au ukishapika na maganda inatosha hata ukila bila maganda asante
Mafuta asili ya nazi mana yake haya yasiyo uzwa dukani ?NI maziwa fresh mkuu, utachemsha na maganda yake lakini wakati wa kula utayamenyea mezani ndio ulikuwa utaratibu wa babu zetu. In fact duniani kote kuna Vita ya kuupinga uzee au tuseme binadamu anapigana ili kuaona aweze kuishi zaidi lakini katika afya yake nzuri huku mwili ukijirepea kwa kutumia vyakula vyetu vya kienyeji, karafuu imeonyesha uwezo mkubwa wa kushindana na hali hii kwa mfano Unga wa karafuu utakapouchanganya na mafuta asili ya nazi ukatumia kujipaka utashuhudia shikamoo zikipungua, handiness ya kidevu sugu kwa kunyoa ndevu itaondoka infact utastaajabu sana let practise in it.
Ukiyakosa asili waweza tumia hata mnara ya madukaniMafuta asili ya nazi mana yake haya yasiyo uzwa dukani ?
Ubarikiwe sana mkuu asante ngoja tuishi humoNI maziwa fresh mkuu, utachemsha na maganda yake lakini wakati wa kula utayamenyea mezani ndio ulikuwa utaratibu wa babu zetu. In fact duniani kote kuna Vita ya kuupinga uzee au tuseme binadamu anapigana ili kuaona aweze kuishi zaidi lakini katika afya yake nzuri huku mwili ukijirepea kwa kutumia vyakula vyetu vya kienyeji, karafuu imeonyesha uwezo mkubwa wa kushindana na hali hii kwa mfano Unga wa karafuu utakapouchanganya na mafuta asili ya nazi ukatumia kujipaka utashuhudia shikamoo zikipungua, handiness ya kidevu sugu kwa kunyoa ndevu itaondoka infact utastaajabu sana let practise in it.
Barikiwa sana...napenda sana kufahamu dawa za kiasili hasa za kisukuma.Wakuu habari za leo!!?, naomba na Mimi leo nichangie kwenye huu Uzi Kama nilivyo ahidi, napenda kuchangia dawa ya kutibu mtu aliyevunjika mifupa hasa miguu au mikono, dawa hii Ina masharti ya tofauti na dawa za hospital.
Kwanza mti wenyewe unaitwa mlama(nama) kwa kisukuma, nitaweka picha yake pia, mti huu wa mlama mizizi yake, magome pamoja na majani yake Ni tiba kwa mtu yeyote aliyevunjika mguu au mkono.
Matumizi, chuma majani, au magome au mizizi (kimoja wapi Kati ya hivyo nilivyotaja) kisage na upate unga baada ya hapo tafuta mafuta ya ng'ombe(samli) mabichi yasiyopikwa, then chukua dawa uliyosaga changanya na hayo mafuta ya ng'ombe na Kisha sugua hiyo dawa kweye viganja vyako vya mkono baada ya hapo pasha viganja vya mikono yako kwenye Moto, ukishamaliza ekekeza viganja vyako kwa mgonjwa uwe Kama unamkanda kwa kusitua situa bila kugusa eneo la kidonda( ukigusisha tu mikono yako na sehemu ya mgonjwa unaweza sababisha eneo Hilo kuoza)
Baada ya kufanya zoezi Hilo pangusa mikono yako chini then nenda kanawe.
Nikipata muda nitaleta dawa ya kumtibu mtu aliyeumwa na nyoka au mtu yeyote aliyekula kitu Cha sumu
View attachment 2401558
Kaka crocodiletooth mm ngedere1 naomba kujua dawa nateseka jamaaUkiyakosa
Ukiyakosa asili waweza tumia hata mnara ya madukani
nWakuu habari za leo!!?, naomba na Mimi leo nichangie kwenye huu Uzi Kama nilivyo ahidi, napenda kuchangia dawa ya kutibu mtu aliyevunjika mifupa hasa miguu au mikono, dawa hii Ina masharti ya tofauti na dawa za hospital.
Kwanza mti wenyewe unaitwa mlama(nama) kwa kisukuma, nitaweka picha yake pia, mti huu wa mlama mizizi yake, magome pamoja na majani yake Ni tiba kwa mtu yeyote aliyevunjika mguu au mkono.
Matumizi, chuma majani, au magome au mizizi (kimoja wapi Kati ya hivyo nilivyotaja) kisage na upate unga baada ya hapo tafuta mafuta ya ng'ombe(samli) mabichi yasiyopikwa, then chukua dawa uliyosaga changanya na hayo mafuta ya ng'ombe na Kisha sugua hiyo dawa kweye viganja vyako vya mkono baada ya hapo pasha viganja vya mikono yako kwenye Moto, ukishamaliza ekekeza viganja vyako kwa mgonjwa uwe Kama unamkanda kwa kusitua situa bila kugusa eneo la kidonda( ukigusisha tu mikono yako na sehemu ya mgonjwa unaweza sababisha eneo Hilo kuoza)
Baada ya kufanya zoezi Hilo pangusa mikono yako chini then nenda kanawe.
Nikipata muda nitaleta dawa ya kumtibu mtu aliyeumwa na nyoka au mtu yeyote aliyekula kitu Cha sumu
View attachment 2401558
Unafanya hili zoezi kwa muda gani? Je hayo magome au mizizi unayasaga yakiwa mabichi au mpaka yakauke(uyaanike kwenye jua).Wakuu habari za leo!!?, naomba na Mimi leo nichangie kwenye huu Uzi Kama nilivyo ahidi, napenda kuchangia dawa ya kutibu mtu aliyevunjika mifupa hasa miguu au mikono, dawa hii Ina masharti ya tofauti na dawa za hospital.
Kwanza mti wenyewe unaitwa mlama(nama) kwa kisukuma, nitaweka picha yake pia, mti huu wa mlama mizizi yake, magome pamoja na majani yake Ni tiba kwa mtu yeyote aliyevunjika mguu au mkono.
Matumizi, chuma majani, au magome au mizizi (kimoja wapi Kati ya hivyo nilivyotaja) kisage na upate unga baada ya hapo tafuta mafuta ya ng'ombe(samli) mabichi yasiyopikwa, then chukua dawa uliyosaga changanya na hayo mafuta ya ng'ombe na Kisha sugua hiyo dawa kweye viganja vyako vya mkono baada ya hapo pasha viganja vya mikono yako kwenye Moto, ukishamaliza ekekeza viganja vyako kwa mgonjwa uwe Kama unamkanda kwa kusitua situa bila kugusa eneo la kidonda( ukigusisha tu mikono yako na sehemu ya mgonjwa unaweza sababisha eneo Hilo kuoza)
Baada ya kufanya zoezi Hilo pangusa mikono yako chini then nenda kanawe.
Nikipata muda nitaleta dawa ya kumtibu mtu aliyeumwa na nyoka au mtu yeyote aliyekula kitu Cha sumu
View attachment 2401558
n
Unafanya hili zoezi kwa muda gani? Je hayo magome au mizizi unayasaga yakiwa mabichi au mpaka yakauke(uyaanike kwenye jutumia
Tumia Hadi mgonjwa apatapo kupona,Ni vizuri ukaanika juani ndo usagen
Unafanya hili zoezi kwa muda gani? Je hayo magome au mizizi unayasaga yakiwa mabichi au mpaka yakauke(uyaanike kwenye jua).