Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Mkuu naomba kusaidiwa dawa ya kidonda sugu. Kilianza kama kiupele kikaoasuka kikakua na kuwa donda kubwa, Miaka 2 imepita ameshaenda hospitali sana, donda linazidi kukua
 
Mmh bei zake ni hatari kwa uchumi wa maza
oky.Hiyo mint(mentha picata)umepata inapopatikana?

Maua ya ndulele/tulatula/tunguja nayo tiba yanazibua kama shida ni usikivu tu na hakuna tatzo lingine linalosababisha.Maji ya yale maua unaweka skioni,usi dilute kwa maji y bomba lakini.

Anaejua dawa ya kunywa ya fangas(mitishamba) anisaidie jaman.
 
Nmeona yanauzwa nmeanza kuyaulizia tayar
 
Kuna dawa ya asili ya kutibu kifafa..??
 
Nmeona yanauzwa nmeanza kuyaulizia tayar
Mkuu,nina dogo naye anashida hiyo,,anatumia hearing aids lakini bado shida,yey wanasema madaktari kuwa walio over dose dawa ya malari ,hayo tumeambiwa muhimbili baada ya kufika uko.
 
Hearing aid ndo ina inamaliz kabisa cha kufanya aiache ajifunz kuelewa kwa mdomo mtu akiongea
 
hii ni dawa ya kuongeza damu.mwilini
nzuri sana kwa wamama wajawazito na wengine waliopungukiwa damu kwa mwili

chemsha maua hayo kiasi hivi weka maji vikombe vitatu..

kunywa kwa wiki 2 mfululizo kisha kapime tena wingi wa damu.

addition:
kama haya maua ni vigumu kupata, tumia tembele na mchicha.
chemsha tembele kivyake na mchicha kivyake, kisha chuja maji (kabla hujaziunga) kisha kunywa
usiweke chumvi
IMG_20221010_102422_266.jpg
 
View attachment 2382763
IMG_20221010_102422_267.jpg
 
Back
Top Bottom