Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 984
- 1,232
Asante mkuufile limegoma kupanda hpa.Ila ktk orodha nimeona 'mentha spicata'itakufaa.sijui km inapatkana tz.View attachment 2380819
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuufile limegoma kupanda hpa.Ila ktk orodha nimeona 'mentha spicata'itakufaa.sijui km inapatkana tz.View attachment 2380819
ukikwama kabisa,mtafte mzizi mkavu.Nimewah kuona kunauzi alimwambia mtu akishindwa kupona hilo tatizo hosp amtafute,sikumbuk ni ktk uzi gan.Asante mkuu
Mmh bei zake ni hatari kwa uchumi wa mazaukikwama kabisa,mtafte mzizi mkavu.Nimewah kuona kunauzi alimwambia mtu akishindwa kupona hilo tatizo hosp amtafute,sikumbuk ni ktk uzi gan.
Vitiligo je?!...,Dawa yake ya kienjeji?Mmh bei zake ni hatari kwa uchumi wa maza
oky.Hiyo mint(mentha picata)umepata inapopatikana?Mmh bei zake ni hatari kwa uchumi wa maza
Nmeona yanauzwa nmeanza kuyaulizia tayaroky.Hiyo mint(mentha picata)umepata inapopatikana?
Maua ya ndulele/tulatula/tunguja nayo tiba yanazibua kama shida ni usikivu tu na hakuna tatzo lingine linalosababisha.Maji ya yale maua unaweka skioni,usi dilute kwa maji y bomba lakini.
Anaejua dawa ya kunywa ya fangas(mitishamba) anisaidie jaman.
Mkuu,nina dogo naye anashida hiyo,,anatumia hearing aids lakini bado shida,yey wanasema madaktari kuwa walio over dose dawa ya malari ,hayo tumeambiwa muhimbili baada ya kufika uko.Nmeona yanauzwa nmeanza kuyaulizia tayar
Mkuu leo nimeanza kuutmia kwa ajili ya ugonjwa wa typhoid iliyo suguJina: Msongwi au songwe in Kihehe(iringa)
Ugonjwa : typhoid au homa ya matumbo
Maelekezo :chemsha majani laini ya mti huu then kunywa.
Dozi: kikombe cha chai. View attachment 2271380
Hearing aid ndo ina inamaliz kabisa cha kufanya aiache ajifunz kuelewa kwa mdomo mtu akiongeaMkuu,nina dogo naye anashida hiyo,,anatumia hearing aids lakini bado shida,yey wanasema madaktari kuwa walio over dose dawa ya malari ,hayo tumeambiwa muhimbili baada ya kufika uko.
Samahani naomb nitumie ichi kitabu iwe onboc au ata wasapfile limegoma kupanda hpa.Ila ktk orodha nimeona 'mentha spicata'itakufaa.sijui km inapatkana tz.View attachment 2380819
Hearing aid ndo ina inamaliz kabisa cha kufanya aiache ajifunz kuelewa kwa mdomo mtu akiongea
Anasoma sauti mdada mbona kama namjua au sio yeyeNi mwanachuo mkuu,tena sheria sasa lecture atakula vip uko mwanangu
Akae front bench ninae msemea atumii hearing aid na kamaliz adi mastersNi mwanachuo mkuu,tena sheria sasa lecture atakula vip uko mwanangu
Sawa mkuuMkuu m naweza kukusaidia kwa kupitia visomo je upo tayari?
Mkuu unapatikana wapi?Mkuu m naweza kukusaidia kwa kupitia visomo je upo tayari?
hii ni dawa ya kuongeza damu.mwilini
nzuri sana kwa wamama wajawazito na wengine waliopungukiwa damu kwa mwili
chemsha maua hayo kiasi hivi weka maji vikombe vitatu..
kunywa kwa wiki 2 mfululizo kisha kapime tena wingi wa damu.
addition:
kama haya maua ni vigumu kupata, tumia tembele na mchicha.
chemsha tembele kivyake na mchicha kivyake, kisha chuja maji (kabla hujaziunga) kisha kunywa
usiweke chumvi
View attachment 2382763
Tuma pichaNimeshavipata mkuu