Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani


Mkuu[emoji1431]
 
Nasubiria dawa ya biashara (kuvuta wateja dukani)
 
Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike
umri miaka 15.

mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy.

Hili tatizo la kupata vipele vinavyowasha lilikua lina kuja na kupotea baada ya muda....

Baadae kidogo ndipo limekuja hili la upele miguuni na baada ya upele kuondoka yamebaki haya madoa meusi...

Haya madoa yameharibu muonekano mzuri wa miguu yake kabsa....

Naombeni msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya tatizo hili.





 
Ndani kwangu nna janga la PANYA nimetumia dawa za kila aina lakin waap!! Hawaish wala kupungua

NB: mie cprnd paka kabisa mwenye dawa korofi anaweza nisaidia
 
Wakubali ili madawa na mashine za mionzi zikose soko?
 
Asante sana huu mti nimeupanda kila eneo langu ninalomiliki. Mimi hasa nautumia kulisha mifugo kama sungura, mbuzi na ng'ombe. Nilijaribu mbegu zanke ila ile ladha yake ilinishinda.
 
Miguu kama inawaka moto sipati usingiz miguu inakuwa kama inakufa ganzi wakuuu,nini nifanye?
 
Majani yake unayatumia kivipi na yanatibu maradhi gani... elezea kwa uchache
 
Wakuu nimejaribu unga wa karafuu na mafuta ya nazi lakini vipele usoni havitoki vya ndevu.
Na madoa yake.
 
Matumizi yake yakoje??

#MaendeleoHayanaChama
Unachemsha unakunywa kabla ya ovulation kwa mtu mwenye uhitaji wa kushika ujauzito
Kwa mtu mwenye maumivu wakati wa hedhi anatakiwa kunywa kwa mwezi mara tatu karibia na kuingia hedhi
Kuna ya kienyeji na kizungu, ya kienyeji ni nzuri zaid harufu yake ni kali tofauti na hyo na kizungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…