Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Kijiko kimoja cha karafuu ya unga kwenye gras ya maziwa ni tiba ya magonjwa haya waweza ongeza na turmeric kidogo kwa tiba bora zaidi.

[emoji818]Tiba ya uzazi (ugumba)
[emoji818]Tiba ya homon kuto kuwa sawa
[emoji818]Tiba ya moyo
[emoji818]Tiba ya tumbo
[emoji818]Tiba ya ini
[emoji818]Tiba ya mapafu
[emoji818]Tiba ya pumu
[emoji818]Tiba ya mafua
[emoji818]Tiba ya kikohozi sugu
[emoji818]Tiba ya pua zilizo ziba
[emoji818]Tiba y kukosa kumbukumbu na kuto kuelewa
[emoji818]Tiba ya ges tumbon na utumbo
[emoji818]Tiba ya udhaifu wa misir
[emoji818]Tiba ya upongufu wa.madini
[emoji818]Tiba ya kibofu cha mkojo na mkojo kutoka bila ya hiyar
[emoji818]Tiba ya meno na fidhi (pia ni kinga)
[emoji818]Tiba ya macho (maono hafifu)
[emoji818]Tiba ya chunus
[emoji818]Tiba ya uvimbe wa ngozi na kumwa na mdudu
[emoji818]Tiba ya kudhibiti kiwango cha sukar ya damu na kudumisha viwango vyake
[emoji818]Tiba ya kuongeza ute kwenye maungio ya mifupa
[emoji818]kinga dhidi ya saratan
[emoji818]Tba ya baridi bronchitis Koo iliyo na dawa ya kulevya na tonsillitis
[emoji818]Tiba ya hemorrhoids na analitis

Bro ni maziwa fresh au mtimdi
 
LEO TUANGALIE, NI JINSI GANI UNAWEZA KUMUOKOA MTU ALIYEKUFA KIMAZINGAOMBWE (MSUKULE)

Kila Chenye Uhai, Hakika Kitakufa, Hili Hakuna Wa Kulipinga .

Lakini, Kuna Baadhi Ya Vifo Huwa Vinatatanisha Sana!

Waweza Kuta Mtu Amekufa, Ana Siku 3, Lakini Ukimgusa, Bado Ana Joto!
Mwingine Hata Kutingishika, Anatingishika!

JINSI YA KUMRUDISHA MTU ALIYEKUFA KIMAZINGAOMBWE (MSUKULE):

Ukiona Mtu Kafa Kifo Kinachotatanisha, Mkahisi Yaweza Kuwa Ni Msukule, Msimlilie, Wala Msimuoshe, Fanya Hivi:

Nenda Kwenye Mgomba, Chukua Kamba Tatu Za Mgomba, Kisha Nenda Alipolazwa Marehemu.

Kirha Muweke Kama Inavyowekwa Maiti Kwenye Sanda, Tumia Shuka Nyeupe, Kisha Funga Kama Ifungwavyo Maiti, Kisha Sema:

BISMILLAHI RAHMANI RAHIIM: NAKUOMBA MWENYEEZI MUNGU KWA UWEZO WAKO NA NGUVU ULIYOIWEKA KWENYE MGOMBA, NIONESHE KILICHOLALA HAPA JUU.

Ikiwa Ni Msukule, Papo Hapo Mtaona Mabadiliko, Marehemu Hataonekana, Litabaki Limgomba !

Mkimtafuta Huyo Marehemu, Mtamuona Hapo Hapo Nyumbani, Tena Lazima Atakuwa Nyuma Ya Mlango!

Mchawi Atakimbia
Kalibuni morogoro mjini ndugu zangu [emoji1431]
Uko moro mjini maeneo gani, niko mjni pia.
 
Kuna àina 32 za mtu kuchukuliwa Msukule,si kila anayechukuliwa Ni mgomba huwekwa ,kuna comptent wachawi katika kazi zao ,hawabahatishi.
Nimetolea mfano wa mgomba tu mkuu ila hi njia ata wachukue kwa stail gan inaleta majibu chap tu na kilicho wekwa apo kitaoneka uwe mgomba ama laa na nimeshasaidia watu watatu kwa njia hii mkuu,ivyo najua ninacho kisema🙏🏽
 
Back
Top Bottom