Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

kama uchafu hatoki na hospital amewah kwenda akakosa UTI (nimewah experience kuumwa kama la period na uchafu hamna ila ilikuwa UTI nilipewa dawa nikapona) na kama hana PID (hii huambatana sana na kutokwa uchaf).

Kama vyote hamna ila anashiriki sex, ajichuguze style ambazo wanatumia
kuna style sio rafiki kwa kizazi, ukimaliza kesho yake utaumwa tumbo kama siku mbili maumivu kama ya period yale yale then lita acha akirudia tena hyo style kuumwa ni kule kule na litaacha tena (hapa naongea kwa experience kuna ma style ni ya kuyaacha tumbo linauma baada)

na kama hyo sio pia aende kwa specialist wa wanawake kabisa .
 
Msaada tutani dawa ya hii hali shingon kwa mtoto inamjda mrefu anatumia dawa inapoa akiacha inarudView attachment 2329977
Pengine hii ni pumu ya ngozi, tunaita Kiguma.

Dawa yake sasa, unamkamata mnyama anaitwa kima huko kwenye mapori na misitu. Unamchoma hadi anakuwa majivu.

Then yale majivu unayasaga upate unga laini.

Huo unga ndo unampaka sehem iliyoathirika, unaweza kuchanganya na mafuta kidogo.

Halafu unga mwingine analamba.
Baada ya siku chache tu utaanza kuona mabadiliko makubwa. Baada ya almost wiki 2 utasahau kama huyo mtoto aliwahi kuumwa huo ugonjwa.

Ukienda upareni utakuta hiyo dawa ipo ready made, ni wewe kununua tu kwenye magulio.
 
Asantee mchango wako mkuu
 
Kama u ayo na ni uhakika basi mimi ni muhanga wa hili na naomba niipate hii dawa
 
Wakuu naomba msaada;mke wangu ni mjamzito wa miezi mitano ila amepatwa na hali ya kukosa usingizi,pia kuota ndoto mbaya kama anakabwa na nini na zingine mbaya mbaya,yaan kiufupi malue malue tu...pia tumbo huwa linamuuma mda mwingi...wakuu naombeni msaada maana nakosa amani
N.B hii mimba yake ya pili means tuna mtoto mmoja tayri.
 
Kukosa usingizi kuna kipindi katika mimba ni kawaida, yaani kukesha usiku mzima macho inatokea. Kuhusu kuumwa tumbo kuanzia miezi ya 5 na kuendelea kama hatokwi na maji au uchafu wowote ukeni na damu, mtoto anacheza vizuri, asihofu ni kawaida wataalamu wanasema mtoto anakuwa mkubwa kwahyo kizazi kinajitanua kukidhi uhitaji wa mtoto so maumivu kawaida.
Kama maumivu ni makali sana akamwone daktari sio kila dalili ni ya kuchukulia poa hasa kipindi cha ujauzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kufukuza negative energy nyumbani kwako.

Chukua chombo kilicho transparent (glass) jaza maji safi pia weka na chumvi ya mawe changanya na white vinegar then kiweke pale sebuleni kwako utakuja kunishukuru.
 
Mkuu trudie shukrani sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…