Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Asalam alaikum kheri umu ndani.
Habari zenu wakubwa Kwa wadogo.
Wale walio wagonjwa Allah awape tahafifu mpate afya njema inshallah πŸ™πŸ½.

Haya Leo ni siku ya jumapili,ni siku ambayo nimeitenga kusaidia wenye uhitaji wa matatizo mbali mbali yanayo wasumbua kimajini,uchawi, biashara ndoa, kusafisha mwili kulejesha mahusiano,kutibu degedege, kifafa, ukichaa, kuvuta wateja kwenye biashara Yako ,Dua na maombi,kufuta chale za kichawi nk.
Tiba zote izi utazipata kalibu na Bure ni ofaaa njoo na sadaka Yako tu,ata kama tatizo lako ni lagarama kubwa kiasi Gani wewe beba sadaka Yako tu njoo ofisini kwangu utapata huduma yoyote inayo usiana na afya nk.
Huduma hii inaanza mda huu 7:57 asubui mwisho kesho sa 7:57 muda kama huu maana yake uduma hii naitoa Leo Kwa masaa 24 wanao Toka mbali pa kulala kupoπŸ™πŸ½.
Huduma hii ni Kwa watu wa morogoro mjini na viunga vyake,wale wa mikoa ya jirani na mbali pigeni sim nitawapa utaratibu wa kuwasaidia Ili Kila mtu apate huduma hii πŸ™πŸ½.
By Dr matenyula herbalist 🌱🌳.
Tunapatikana morogoro mjini rock garden kwa juu kidogo.
Call/WhatsApp number +255625535964.
 

Attachments

  • Screenshot_20230514-003909.jpg
    160.8 KB · Views: 45
Hapa nimeeelewa kwa mbinde sana asee
 

Nawezaje kuupata Mmea huo Mkuu?[mention]AbouZakariya [/mention]
 
Na wa utajiri waje enh
 
Picha mkuu
 
Jinsi y kuondokaan na macho mekundu kama mvuta bangi nitumie nini uwekundu na utando mweusi ktk macho utoke libaki clear
 
Ziba matundu wanayoingilia
 
MBAAZI NI KINGA NA MSAADA KWA MAMBO MENGI YANAYOHUSU AFYA YA MWILI WAKO

Dawa za πŸ‘΄πŸΎπŸ‘΄πŸΎ kirugulu. 0625535964

Mbaazi ni mmea asilia ambao babu zetu waliutumia kama kinga katika nyumbani zao.

Mmea huu aina ya mikunde, kwa ujumla ni msaada katika mambo mengi.

Ukiweka ndani ya nyumba mzizi au shina lake ni kinga inayoweza kupambana na watu wabaya, wakati majani yake yanaharibu na kukinga ubaya.

Kinamama wenye tatizo la hedhi kutoka bila mpangilio, watumie majani ya mbaazi.

Chukua majani ya mbaazi yaponde na kupata juisi, itie katika kifuu cha nazi kilicho kisafi, tia kaa la moto kisha kunywa asubuhi kabla ya kula chochote.

Kimsingi kinamama wanatakiwa kwenda hedhi kati ya siku tatu hadi tano, inapozidi au kupungua mara nyingi linakuwa tatizo linalohitaji kupatiwa ufumbuzi.

Pia unaweza kuchukua robo kilo ya mbaazi changanya na kiasi kama hicho cha mtama, saga mchanganyiko huo kisha weka kijiko kimoja cha chai cha unga huo katika maji moto au uji usio mzito katika kikombe cha chai, kunywa kila asubuhi kabla ya kula chochote unasaidia kurekebisha hali hiyo.

Si hayo tu, mbaazi ukikauka uweke ndani unasaidia kufukuza nguvu za giza.

Au kama unasafiri kwenda sehemu ambayo unajua kuna nguvu za giza unaweza kuweka kipande cha mti huo mfukoni na ukarudi salama.

Mizizi ya mbaazi pia ni msaada kwa maradhi ya kaswende, gonolea, wanaume wenye tatizo la kutojisaidia vizuri haja ndogo na wenye UTI.

Chukua mizizi ya mbaazi kiasi cha kujaa mkono mmoja, osha vizuri kisha chemsha muda wa dakika 15 kunywa kikombe kimoja cha chai kutwa mara tatu.

Naweza kusema mbaazi ni msaada kwa maradhi mengi yaliyoshindikana hospitali.

Majani ya mbaazi pia ni limbwata mjarabu walio wai kufanya kaz na mimi wanalijua hilo Naendelea kuwakaribisha kwenye milima ya URUGULUNI Kwa machikongwe πŸ‘΄πŸΎπŸ‘΄πŸΎwakali wa hizi kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯

By dr matenyula herbalist 🌱🌳 mkali wa hizi kazi iga ufe πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜‚.
Tunapatikana morogoro mjini.
Kwa tiba zaidi na ushauri call/WhatsApp number is +255625535964.
 
Aisee ndio mana bagamoyo mbaazi zimetapakaaa Sana kumbe wenyeji wanakua KAZi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…