Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Asalam alaikum kheri umu ndani.
Habari zenu wakubwa Kwa wadogo.
Wale walio wagonjwa Allah awape tahafifu mpate afya njema inshallah 🙏🏽.

Haya Leo ni siku ya jumapili,ni siku ambayo nimeitenga kusaidia wenye uhitaji wa matatizo mbali mbali yanayo wasumbua kimajini,uchawi, biashara ndoa, kusafisha mwili kulejesha mahusiano,kutibu degedege, kifafa, ukichaa, kuvuta wateja kwenye biashara Yako ,Dua na maombi,kufuta chale za kichawi nk.
Tiba zote izi utazipata kalibu na Bure ni ofaaa njoo na sadaka Yako tu,ata kama tatizo lako ni lagarama kubwa kiasi Gani wewe beba sadaka Yako tu njoo ofisini kwangu utapata huduma yoyote inayo usiana na afya nk.
Huduma hii inaanza mda huu 7:57 asubui mwisho kesho sa 7:57 muda kama huu maana yake uduma hii naitoa Leo Kwa masaa 24 wanao Toka mbali pa kulala kupo🙏🏽.
Huduma hii ni Kwa watu wa morogoro mjini na viunga vyake,wale wa mikoa ya jirani na mbali pigeni sim nitawapa utaratibu wa kuwasaidia Ili Kila mtu apate huduma hii 🙏🏽.
By Dr matenyula herbalist 🌱🌳.
Tunapatikana morogoro mjini rock garden kwa juu kidogo.
Call/WhatsApp number +255625535964.
 
Attachments

  • Screenshot_20230514-003909.jpg
    Screenshot_20230514-003909.jpg
    160.8 KB · Views: 45
Wachaga wanaita SALLE,au ISALLE/MMEA WA MIPAKA.

View attachment 2268712

:this plant is almost found every where across the continent.it was used to share boundaries,farms or separate ones property from others.our ancestors did a good job by discovering the spiritual uses of this plant.evil spirits,fear this plant to the point that.immediately they see you collecting or bringing this herbs home.they start to move away and out of your life.if you want to break spiritual marriage,this herbs is for you.

if you feel your house is being haunted.put this herbs in water and sprinkle it inn around your house or store.you can use this herbs to remove all curses,placed on you if you soak it and bath with it for seven days.witches and wizards fear this herbs very much.if by mistake,someone dies at your hands and the spirit is tormenting u.this herbs and another herbs can be put together to help stop the spirit of the person from tormenting u.u can use this wonderful herbs to separate someone from coming near your partner...
Hapa nimeeelewa kwa mbinde sana asee
 
Habari za usiku huu, naomba nishare nanyi dawa Moja itokanayo na mmea uitwao leaf of life, sijui kwa kiswahili unaitwaje.
Hili Jani nililifahamu kabla lakini sikuwahi kulitumia, Juzi wife alipata tatizo la kifua alikuwa anakohoa Sana, na pumzi zinabana Sana na akipumua ni Kama mtu mwenye pumu, kumbukumbu ikanijia kuwa huu mmea unasaidia kwa matatizo ya upumuaji na bahati ninao mmea wenyewe, nilichuma Jani Moja akalitafuna na kufyonza maji yake, basi baada ya Kama dakika Tano tu akawa Safi kabisa kifua kimefunguka na akapata usingizi Safi kabisa.
Tuutumie huu mmea nasikia umejaaliwa kuwa sababu ya kuponya maradhi mengi tu.
Tafadhali Kama Kuna anayejua matumizi zaidi ya LEAF OF LIFE ni vyema ayaweke ubaoni hapa ili sote tuelimike.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Nawezaje kuupata Mmea huo Mkuu?[mention]AbouZakariya [/mention]
 
Asalam alaikum kheri umu ndani.
Habari zenu wakubwa Kwa wadogo.
Wale walio wagonjwa Allah awape tahafifu mpate afya njema inshallah 🙏🏽.

Haya Leo ni siku ya jumapili,ni siku ambayo nimeitenga kusaidia wenye uhitaji wa matatizo mbali mbali yanayo wasumbua kimajini,uchawi, biashara ndoa, kusafisha mwili kulejesha mahusiano,kutibu degedege, kifafa, ukichaa, kuvuta wateja kwenye biashara Yako ,Dua na maombi,kufuta chale za kichawi nk.
Tiba zote izi utazipata kalibu na Bure ni ofaaa njoo na sadaka Yako tu,ata kama tatizo lako ni lagarama kubwa kiasi Gani wewe beba sadaka Yako tu njoo ofisini kwangu utapata huduma yoyote inayo usiana na afya nk.
Huduma hii inaanza mda huu 7:57 asubui mwisho kesho sa 7:57 muda kama huu maana yake uduma hii naitoa Leo Kwa masaa 24 wanao Toka mbali pa kulala kupo🙏🏽.
Huduma hii ni Kwa watu wa morogoro mjini na viunga vyake,wale wa mikoa ya jirani na mbali pigeni sim nitawapa utaratibu wa kuwasaidia Ili Kila mtu apate huduma hii 🙏🏽.
By Dr matenyula herbalist 🌱🌳.
Tunapatikana morogoro mjini rock garden kwa juu kidogo.
Call/WhatsApp number +255625535964.
Na wa utajiri waje enh
 
Habari za usiku huu, naomba nishare nanyi dawa Moja itokanayo na mmea uitwao leaf of life, sijui kwa kiswahili unaitwaje.
Hili Jani nililifahamu kabla lakini sikuwahi kulitumia, Juzi wife alipata tatizo la kifua alikuwa anakohoa Sana, na pumzi zinabana Sana na akipumua ni Kama mtu mwenye pumu, kumbukumbu ikanijia kuwa huu mmea unasaidia kwa matatizo ya upumuaji na bahati ninao mmea wenyewe, nilichuma Jani Moja akalitafuna na kufyonza maji yake, basi baada ya Kama dakika Tano tu akawa Safi kabisa kifua kimefunguka na akapata usingizi Safi kabisa.
Tuutumie huu mmea nasikia umejaaliwa kuwa sababu ya kuponya maradhi mengi tu.
Tafadhali Kama Kuna anayejua matumizi zaidi ya LEAF OF LIFE ni vyema ayaweke ubaoni hapa ili sote tuelimike.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Picha mkuu
 
Jinsi y kuondokaan na macho mekundu kama mvuta bangi nitumie nini uwekundu na utando mweusi ktk macho utoke libaki clear
 
Wajumbe habar za Jumapili.
Naomba mnisaidie Dawa ya kufukuza popo. Wamevamia kwenye kastoo kangu ka kuhifadhia bidhaaa yaaani ni kero. Ni wengi mnoooooooo. Nimejaribu ugoro, Oil chafu, Grease na dawa za Dukan za Fumigation lkn hawakomi. Naomba msaada wenu
Ziba matundu wanayoingilia
 
MBAAZI NI KINGA NA MSAADA KWA MAMBO MENGI YANAYOHUSU AFYA YA MWILI WAKO

Dawa za 👴🏾👴🏾 kirugulu. 0625535964

Mbaazi ni mmea asilia ambao babu zetu waliutumia kama kinga katika nyumbani zao.

Mmea huu aina ya mikunde, kwa ujumla ni msaada katika mambo mengi.

Ukiweka ndani ya nyumba mzizi au shina lake ni kinga inayoweza kupambana na watu wabaya, wakati majani yake yanaharibu na kukinga ubaya.

Kinamama wenye tatizo la hedhi kutoka bila mpangilio, watumie majani ya mbaazi.

Chukua majani ya mbaazi yaponde na kupata juisi, itie katika kifuu cha nazi kilicho kisafi, tia kaa la moto kisha kunywa asubuhi kabla ya kula chochote.

Kimsingi kinamama wanatakiwa kwenda hedhi kati ya siku tatu hadi tano, inapozidi au kupungua mara nyingi linakuwa tatizo linalohitaji kupatiwa ufumbuzi.

Pia unaweza kuchukua robo kilo ya mbaazi changanya na kiasi kama hicho cha mtama, saga mchanganyiko huo kisha weka kijiko kimoja cha chai cha unga huo katika maji moto au uji usio mzito katika kikombe cha chai, kunywa kila asubuhi kabla ya kula chochote unasaidia kurekebisha hali hiyo.

Si hayo tu, mbaazi ukikauka uweke ndani unasaidia kufukuza nguvu za giza.

Au kama unasafiri kwenda sehemu ambayo unajua kuna nguvu za giza unaweza kuweka kipande cha mti huo mfukoni na ukarudi salama.

Mizizi ya mbaazi pia ni msaada kwa maradhi ya kaswende, gonolea, wanaume wenye tatizo la kutojisaidia vizuri haja ndogo na wenye UTI.

Chukua mizizi ya mbaazi kiasi cha kujaa mkono mmoja, osha vizuri kisha chemsha muda wa dakika 15 kunywa kikombe kimoja cha chai kutwa mara tatu.

Naweza kusema mbaazi ni msaada kwa maradhi mengi yaliyoshindikana hospitali.

Majani ya mbaazi pia ni limbwata mjarabu walio wai kufanya kaz na mimi wanalijua hilo Naendelea kuwakaribisha kwenye milima ya URUGULUNI Kwa machikongwe 👴🏾👴🏾wakali wa hizi kazi 😂😂🔥🔥

By dr matenyula herbalist 🌱🌳 mkali wa hizi kazi iga ufe 🔥🔥😂.
Tunapatikana morogoro mjini.
Kwa tiba zaidi na ushauri call/WhatsApp number is +255625535964.
 
MBAAZI NI KINGA NA MSAADA KWA MAMBO MENGI YANAYOHUSU AFYA YA MWILI WAKO

Dawa za [emoji1524][emoji1524] kirugulu. 0625535964

Mbaazi ni mmea asilia ambao babu zetu waliutumia kama kinga katika nyumbani zao.

Mmea huu aina ya mikunde, kwa ujumla ni msaada katika mambo mengi.

Ukiweka ndani ya nyumba mzizi au shina lake ni kinga inayoweza kupambana na watu wabaya, wakati majani yake yanaharibu na kukinga ubaya.

Kinamama wenye tatizo la hedhi kutoka bila mpangilio, watumie majani ya mbaazi.

Chukua majani ya mbaazi yaponde na kupata juisi, itie katika kifuu cha nazi kilicho kisafi, tia kaa la moto kisha kunywa asubuhi kabla ya kula chochote.

Kimsingi kinamama wanatakiwa kwenda hedhi kati ya siku tatu hadi tano, inapozidi au kupungua mara nyingi linakuwa tatizo linalohitaji kupatiwa ufumbuzi.

Pia unaweza kuchukua robo kilo ya mbaazi changanya na kiasi kama hicho cha mtama, saga mchanganyiko huo kisha weka kijiko kimoja cha chai cha unga huo katika maji moto au uji usio mzito katika kikombe cha chai, kunywa kila asubuhi kabla ya kula chochote unasaidia kurekebisha hali hiyo.

Si hayo tu, mbaazi ukikauka uweke ndani unasaidia kufukuza nguvu za giza.

Au kama unasafiri kwenda sehemu ambayo unajua kuna nguvu za giza unaweza kuweka kipande cha mti huo mfukoni na ukarudi salama.

Mizizi ya mbaazi pia ni msaada kwa maradhi ya kaswende, gonolea, wanaume wenye tatizo la kutojisaidia vizuri haja ndogo na wenye UTI.

Chukua mizizi ya mbaazi kiasi cha kujaa mkono mmoja, osha vizuri kisha chemsha muda wa dakika 15 kunywa kikombe kimoja cha chai kutwa mara tatu.

Naweza kusema mbaazi ni msaada kwa maradhi mengi yaliyoshindikana hospitali.

Majani ya mbaazi pia ni limbwata mjarabu walio wai kufanya kaz na mimi wanalijua hilo Naendelea kuwakaribisha kwenye milima ya URUGULUNI Kwa machikongwe [emoji1524][emoji1524]wakali wa hizi kazi [emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]

By dr matenyula herbalist [emoji271][emoji269] mkali wa hizi kazi iga ufe [emoji91][emoji91][emoji23].
Tunapatikana morogoro mjini.
Kwa tiba zaidi na ushauri call/WhatsApp number is +255625535964.
Aisee ndio mana bagamoyo mbaazi zimetapakaaa Sana kumbe wenyeji wanakua KAZi zake
 
Back
Top Bottom