Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Nakubaliana na aya zote hizi. Hongera sana
 
Hongera Mkuu wa kigoda Cha Chama 😁😁
 
Hivi waungwana nini dawa ya insomnia (kukosa usingizi) na ndoto za kutisha .Najiran yangu akiingia kitandan saa 3 usingizi saa 9 na bado anastuka anasema anaona mapicha ya mizoga ya kutisha .
Chukua majani kama matano ya mstafeli. Tengeneza chai yake anywe kikombe kimoja. Atalala usingizi safi sana. Na hata kama kukosa usingizi ni sababu ya wasiwasi uliopitiliza, anxiety...hiyo ni tiba nzuri
 
Kula sana bilinganya mix up na Maharage ya kutosha, jioni wakati wa kulala jipake mafuta ya mizaituni nyayoni halafu lala, tafadhali tuletee mrejesho!
 
Waungwana naulizia dawa ya kisukari, mgonjwa alikatwa kidole kidogo cha mguu mara ya kwanza, sasa hivi kimetokea kidonda kwenye kidole gumba cha mguu mwengine, anahofu ya kukatwa tena maana kimechimba sana... ajuaye dawa please msaada.
Picha namba 1,515 hapo juu ni mmea wenye dawa safi sana ya kisukari. Tengeneza chai yake anywe asubuhi na jioni hata Kwa wiki moja
 
Hivi waungwana nini dawa ya insomnia (kukosa usingizi) na ndoto za kutisha .Najiran yangu akiingia kitandan saa 3 usingizi saa 9 na bado anastuka anasema anaona mapicha ya mizoga ya kutisha .
Olive oil jifanyie message kwenye nyao
 
Mziwa ziwa ukichanganya na mashika nguo na mchaichai ni dawa nzuri kwa mwenye vidonda vya tumbo
Kabisa mkuu, mziwaziwa ni dawa kabambe ya vidonda, pia mtetanasi nao ni dawa nzuri kupindukia hata vidonda sugu.
 
Wakuu,..kuna mtu anauliza dawa ya macho mekundu ni nn?..,yaani mda mwingi ni kama unasikia usingizi? msaada kwa kijana!
 
Mlundalunda, lubhungwa, ntundwa hii mimea inatibu ngiri kwa haraka sana.
 
Nadhan ukijaribu kutumia kupaka utomvu / mafuta ya mibono inasaidia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…