Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Mti gani huu kuna dogo anasumbua wazazi huku
 
Hii Kwa kiswahili inaitwaje ndugu yangu?
 
Kweli kabisa
 
Sijui kwa kweli limetokana na nini, sio mzee, sina sukari wala pressure ndugu
 
Wakuu mimi mgongo unanisumbua na nyonga inauma sana, kila niki twist kiuno nasikia kama mifupa inasagana
 
DAWA YA CHEMBE YA MOYO/KIJEMBE,,,,Chukua hayo majani weka katika chungu unguza upate unga wake kisha changanya na unga wa jumba la konokono mchanje mgonjwa sehemu ya chembe chale 7 na mgongoni usawa wa chembe pia chale 7 kisha muweke hiyo dawa bandika na plasta,,,atalala na dawa hiyo mpaka asubuhi utaitoa umpake mafuta ya nyonyo au kupikia hapo kazi imeisha,,,ukitaka upone haraka sana chimba mizizi ya huu mmea chemsha unywe kikombe kimoja asubuhi na jioni kwa siku 7 utakuwa sawa kabisa. Masharti ya dawa hii usifanye mapenzi, usiinue vitu vizito, wala kufanya kazi ngumu kabisa mpaka zipite wiki mbili. Dawa za chembe zipo nyingi kama hiyo nilivyoelekeza, ipo ya bilauri, na mchanganyiko wa dawa za kisunna ambazo hauchanji.
 

Attachments

  • IMG_20240407_102500_083.jpg
    152.9 KB · Views: 34
Asante sana, miaka 26 ,tatizo nimeanza kuliona nikiwa na miaka 21 japo ndani ya hii miaka miwili naona kidogo linakuwa serious
Kwa historia ya muda ulioanza kupata shida hiyo,kuna uwezekano mkubwa ukawa na ugonjwa wa mifupa(Osteoporosis) ambao umeshindwa kuutibu muda mrefu na sasa umeendelea kujijenga na hatimaye unaonyesha kuwa limekuwa tatizo kubwa.Ugonjwa huu una sifa ya kupungua kwa molekuli ya mfupa na kuzorota kwa usanifu wa mfupa na ubora.Jambo ambalo huongeza udhaifu wa mifupa na kusababisha hatari kubwa ya kusagana na kuvunjika kwa mifupa, hasa katika baadhi ya maeneo mahususi ya mifupa yetu, kama vile nyonga, uti wa mgongo na kifundo cha mkono.Mhimu ni kuwa ugonjwa huu hutibika japo tiba yake ni ya polepole na inahitaji uvumilivu kulingana na ukubwa wa tatizo.
 
Nini nifanye na wapi niende? I mean hospital iliyobobea kwa hizi issue
 
Kama mtu ana Ndugu au yey mwenyewe imetokea bahati Mbaya kavunjika miguu au mikono kwa Bahati Mbaya au kwa ajali na anaona Tiba ya Hospitali hailewi au imetokea Hospitali Gharama kubwa au amewahi Tibiwa hospital na hakufanikiwa kupona vizuri kama anaweza kuna mzee yupo iringa wilaya ya kilolo ilula isele tena barabarani kabisa anatibu na Kuunga mifupa kwa dawa za asili kabisa anaitwa maliga nandika kwa HERUFI KUBWA YUPO IRINGA WILAYA YA KILOLO MJI MDOGO WA ILULA KATA YA ISELE
 
Tumia juisi ya bamia inasaidia sana mifupa.
Hapo anatakiwa atafute tiba tu hakuna namna.Huwezi kuugua malaria ukajitibu kwa kulala kwenye neti,hutapona.Bamia zinasaidia kutokupata tatizo na sasa tatizo ameshalipata,kwa hiyo lazima ajitibu apone halafu ndiyo aendelee na huo utaratibu,vinginevyo atamaliza magunia bila kupona.
 
JE UNA TATIZO LA MIMBA KUHARIBIKA



🗣️Hii Ni maalum kwa wanawake wote ambao wamekuwa wakishika ujauzito na huwa zinaharibika kabla ya muda wake.

✍️Sasa Leo tumewaletea kaujanja ambako hakatumii gharama kubwa katika kulidhibiti tatizo Hilo.

🤏Huu unaouona pichani Ni mchicha, lakini siyo tu mchicha Ila Ni mchicha bwasi.

👀Huu mchicha bwasi tumekuwa tukiutumia kila siku katiku katika vyakula vyetu, lakini Ni moja Kati ya mimea ambayo Ina kazi kubwa Sana katika kuulinda na kuukuza mwili wako.

🗣️Kwanza acha nikupe kaujanja kwanza Kisha tutaendelea kuuchambua kidogo.

🤷Kama umekuwa na tatizo Hilo ambalo tumelielezea hapo juu ya kushuka mimba Kisha inaharibika Basi fanya haka kaujanja.

🤏Chukua majani ya kijani ya huu mchicha bwasi, yajae kwenye kiganja chako Cha mkono, Kisha yachemshe na unywe asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kabla ya kwenda kulala.

✍️Lakini fanya hivi baada ya kuhisi au kutambua kwamba umebeba ujauzito, hapo utajionea maajabu.

🗣️Kwa Nini tumeuchagua huu mmea wa kuitwa mchicha bwasi katika tiba yetu hii, Ni kwa sababu hizi zifuazo.

✍️Huu mchicha majani yake una wingi wa mkusanyiko wa vitamin B, mfano folates, riboflavin, niacin, thiamine, Vitamin B6, na nyinginezo zote zinapatikana kwenye majani ya huu mchicha.

🗣️Ambazo hizo zote zinamsaidia au zipo kwa ajili ya kumlinda mtoto aliye tumboni kiafya ya akili na kimwili.

✍️Lakini pia huu mchicha una boost Kinga za mwili maana una vitamin C za kutosha pia.

✍️Una vitamin A za kutosha kwa ajili ya kumlinda ngozi na afya ya macho kwenye kuona.

✍️Pia una calories chache Sana kwa ajili ya kuzuia unene usio na faida.

✍️Pia huu mmea una vitamin K, kwa ajili ya kulinda na kufanya mifupa iwe imara.

✍️Pia una potassium za kutosha kwa ajili ya kudhibiti kiwango Cha mapigo ya moyo mwilini.

✍️Pia una protein za kutosha, una calcium za kutosha, una lysine, na pia husaidia katika suala zima la mmeng'enyo mzuri wa chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…