JE UNA TATIZO LA MIMBA KUHARIBIKA
🗣️Hii Ni maalum kwa wanawake wote ambao wamekuwa wakishika ujauzito na huwa zinaharibika kabla ya muda wake.
✍️Sasa Leo tumewaletea kaujanja ambako hakatumii gharama kubwa katika kulidhibiti tatizo Hilo.
🤏Huu unaouona pichani Ni mchicha, lakini siyo tu mchicha Ila Ni mchicha bwasi.
👀Huu mchicha bwasi tumekuwa tukiutumia kila siku katiku katika vyakula vyetu, lakini Ni moja Kati ya mimea ambayo Ina kazi kubwa Sana katika kuulinda na kuukuza mwili wako.
🗣️Kwanza acha nikupe kaujanja kwanza Kisha tutaendelea kuuchambua kidogo.
🤷Kama umekuwa na tatizo Hilo ambalo tumelielezea hapo juu ya kushuka mimba Kisha inaharibika Basi fanya haka kaujanja.
🤏Chukua majani ya kijani ya huu mchicha bwasi, yajae kwenye kiganja chako Cha mkono, Kisha yachemshe na unywe asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kabla ya kwenda kulala.
✍️Lakini fanya hivi baada ya kuhisi au kutambua kwamba umebeba ujauzito, hapo utajionea maajabu.
🗣️Kwa Nini tumeuchagua huu mmea wa kuitwa mchicha bwasi katika tiba yetu hii, Ni kwa sababu hizi zifuazo.
✍️Huu mchicha majani yake una wingi wa mkusanyiko wa vitamin B, mfano folates, riboflavin, niacin, thiamine, Vitamin B6, na nyinginezo zote zinapatikana kwenye majani ya huu mchicha.
🗣️Ambazo hizo zote zinamsaidia au zipo kwa ajili ya kumlinda mtoto aliye tumboni kiafya ya akili na kimwili.
✍️Lakini pia huu mchicha una boost Kinga za mwili maana una vitamin C za kutosha pia.
✍️Una vitamin A za kutosha kwa ajili ya kumlinda ngozi na afya ya macho kwenye kuona.
✍️Pia una calories chache Sana kwa ajili ya kuzuia unene usio na faida.
✍️Pia huu mmea una vitamin K, kwa ajili ya kulinda na kufanya mifupa iwe imara.
✍️Pia una potassium za kutosha kwa ajili ya kudhibiti kiwango Cha mapigo ya moyo mwilini.
✍️Pia una protein za kutosha, una calcium za kutosha, una lysine, na pia husaidia katika suala
zima la mmeng'enyo mzuri wa chakula.