Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Dawa ya sili ya kuongeza hamu ya kufanya mapenzi jamani ni nini tusaidiane?

mi nikifanya Mara 1 nakaa wiki 2 sina hamu tena![emoji3062][emoji3062][emoji29][emoji29]

We ni mwanaume au mwanamke?
Kama mwanaume
Kama mwanaume kunywa juice ya tende iliyichanganywa na maziwa
 
Kama kuna mwenye kujua dawa za asili za kufunga kizazi (mwanamke asishike ujauzito) atusaidie.

Haya madawa ya hospital sio rafiki kwa afya za wake zetu
Hiyo Dk sule Alisha ieleza , tafuta chupa isio pitisha mwanga Kisha weka kitambaa Cha hedhi,funga chupa Yako ,ifukie chini kwamanui kua unafunga uzazi kwa mda wote ambao chupa hiyo imefungwa . Kufungua ni ni kuifungua chupa yenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba matibabu ya pumu kiongozi,inatesa Sana wanangu.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Tafuta majani ya kisamvu yale ya mwisho kabisa yanayojichipukia ya juu.
Chuma na twanga vizur baadae itoe na uweke kwenye kikombe na maji kiasi mpe asubuh na jioni.

Hata tangawizi ni dawa mzuri tu imeshasaidia watu sana.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Naomba nielekeze vizuri hii tena ikiwezekana hatua kwa hatua nataka kuifanya, ili nisije changanya mambo
 
Vifaranga hapo ni kuvichoma ndio hutoa majivu,,ila yote kwa yote ni balaaaa,hizi elimu kama kichwa kidogo unakuwa chizi aiseeee.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naomba nielekeze vizuri hii tena ikiwezekana hatua kwa hatua nataka kuifanya, ili nisije changanya mambo ROCKY CITY
 
Back
Top Bottom