Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

WANAWAKE WENGI MNOOO mMEKUWA NATATIZO LAKUWASHWA SRHEMU ZA SIRI NA HATA MWILIN WAMETUMIA DAWA ZA HOSPITAL ILA BADO TATIZO LINAKUWA LIPO MUNGU ALIIUMBA MIMEA ITUMIKE KWA CHAKULA,MATUNDA PIA DAWA USIHUZUNIKE MWANA MAMA,MWANA DADA ZIKO DAWA MUNGU KATUUMBIA KAMA ZAWAD KWA SISI WAJA WAKE HAZINA UCHAWI,HAZINA MASHARTI TUMIA MUOMBE MUNGU UTAKUWA SAWA.

HATUA:TAFUTA MAJAN MABICHI YA MPALACHICHI YATWANGE KTK KINU HADI YALAINIKE
2-ANDAA MAJI SAFI YACHEMSHE MAJAN HAYO NUSU SAA.

3- EPUA PIMA KATIKA KIKOMBE CHA CHAI KUNYWA MARA TATU KUTWA MENGINE UNANAWIA KWA BIBI UKISHAMALIZA KUOGA HAKIKISHA UMEYACHUJA,VIZURI.

4- MUNGU ATAWEKA BARAKA ZAKE UTAKUWA SAFI .

5-HATA KAMA ULIKUWA NATATIZO LAKUTOA HARUFU MBAYA ITAKATA.

6-ENDELEA KUTUMIA SIKU TANO.
 
Bila shaka hamjambo watu wa Mungu. Mimi pia ni buheri wa afya.

Kama ilivyo desturi ya kila mmoja wetu hapa,jambo kuu tunalolipa kipaumbele cha kwanza katika maisha yetu ni afya zetu. Afya imara ndiyo mtaji wa fikra na majukumu yetu ya kila siku. Kwa hiyo tunapopata nafasi ya kubadilishana mawazo tunapeana pia maarifa mbalimbali kadri Mwenyezi Mungu anavyotujaalia.

Kuna watu wana changamoto ya kupungukiwa damu kila wakati, jambo ambalo linawapa fedheha kubwa sana katika maisha yao ya kila siku.Kuna watu kila anapopata homa inabidi apate pia vidonge vya kuongeza chembe hai nyekundu za damu ili aendelee kuboresha kiwango chake cha damu mwilini.

Sambamba na tiba nyingine za kitaalam kutoka kwa wataalamu wetu wa afya, kuna huu mti unaoitwa Mvunge, Wasukuma tunauita Ng'wicha. Mti huu huzaa matunda makubwa makubwa mithili ya Matango ambayo yamekuwa yakitumika katika changamoto ya kuongeza kiwango cha damu katika mwili wa binadamu na mti huu umeonyesha matokeo makubwa toka karne na karne.

Unapokuwa na changamoto hiyo unatakiwa kuaandaa matunda kadhaa ya mti huo (Matatu mpaka matano) unayakatakata na baadaye unaongeza maji na kuchemsha.Baada ya mchemsho wako kuchemka utachuja vizuri kwa ajili ya matumizi. Utatumia glass moja asubuhi, mchana na jioni na ndani ya siku tatu utakuwa imara kabisa! Na hata kama utaenda kupima kiwango chako cha damu utakuta kimeongezeka maradufu.

FB_IMG_1674647905558.jpg
 
Ila mti huu unatisha kweli, Bora kutumia beet root, na marozera tu.
 
View attachment 2495274
Umefanya jambo jema. Hili limti nilitaka nilikate, kumbe lina manufaa hivi. Umeliokoa.
 
HealthTips
Muhimu sana kufahamu.

1. Coconut and groundnut are

sexual drive enhancers.

2. Carrot and cucumbers are sperm

boosters!

3. Swimming enhances your

memory.

4. Dancing reduces stress, S€x is

also good but do not abuse it.

5. Exercise is a life extending

therapy.

6. Frequent talking with enthusiasm

is an anti-aging.

7. Masturbation can cause eye

defect, weakness of penis and

reduces your libido from 50yrs

8. Congested bucal cavity is

potentially hazardous, brush your

teeth morning and night.

9.Beans is an anti-cancer, you can

remove the skin if it gives you

trouble after eating.

10.Eating smoked fish is suicidal

because it is double monoxide

and could elicit cancerous cells.

11.Beef is very dangerous to those

above 40yrs.

12.Milk is not really ideal for those

who experience noisy and

stomach upset after drinking it.

Such indicates milk fermentation

in the system.

13.Soft drinks and juices shouldn't be

abused. You can prepare your

own juice with fruits. Dont

accumulate synthetic sugar in

your body.

14.Make watermelon your

companion as it cleanses your

liver and kidney, and also

enhances their functions.

15.Eat apples, carrot, onion and other

vegetables everyday.

16.Cease your breathe for at least

one minute when people cough or

sneeze, especially in an enclosure

or in a public transit.

17.Washing of hands regularly is a

major way of preventing some

infections.

18 garlic is antibiotics and antiviral plant

19 Garlic clears the throat.
 
Umefanya jambo jema. Hili limti nilitaka nilikate, kumbe lina manufaa hivi. Umeliokoa.
Katika mimea mingi tunayoitumia kutatua changamoto ya upungufu wa damu,hakuna mmea unaweza linganisha na matunda hayo katika kutibu tatizo hilo.
 
WANAWAKE WENGI MNOOO mMEKUWA NATATIZO LAKUWASHWA SRHEMU ZA SIRI NA HATA MWILIN WAMETUMIA DAWA ZA HOSPITAL ILA BADO TATIZO LINAKUWA LIPO MUNGU ALIIUMBA MIMEA ITUMIKE KWA CHAKULA,MATUNDA PIA DAWA USIHUZUNIKE MWANA MAMA,MWANA DADA ZIKO DAWA MUNGU KATUUMBIA KAMA ZAWAD KWA SISI WAJA WAKE HAZINA UCHAWI,HAZINA MASHARTI TUMIA MUOMBE MUNGU UTAKUWA SAWA.

HATUA:TAFUTA MAJAN MABICHI YA MPALACHICHI YATWANGE KTK KINU HADI YALAINIKE
2-ANDAA MAJI SAFI YACHEMSHE MAJAN HAYO NUSU SAA.

3- EPUA PIMA KATIKA KIKOMBE CHA CHAI KUNYWA MARA TATU KUTWA MENGINE UNANAWIA KWA BIBI UKISHAMALIZA KUOGA HAKIKISHA UMEYACHUJA,VIZURI.

4- MUNGU ATAWEKA BARAKA ZAKE UTAKUWA SAFI .

5-HATA KAMA ULIKUWA NATATIZO LAKUTOA HARUFU MBAYA ITAKATA.

6-ENDELEA KUTUMIA SIKU TANO.

Asante!
 
MVUTO WA AJABU WA BIASHARA .
DAWA KIBOKO YA MVUTO.

dawa hii ni ya miti dawa hii ni kibojo ya biashara kama wewe ni mama ntilie(muza chakula) mfanya biashara wa aina yoyote basi hili ni bomu lako ili likulipukie , hii dawa niliwai toa humu kipindi hicho na watu waliizarau kwakua hawakuniamin lakin hii nasema utaangaika nadawa za mivuto hili ni bomu kama wewe una frem, kilinge, biashara ya kutembeza , umachinga nk haki ya allah iko juu yetu wana imani nae ni mwingi wa muelevu nenda duka la asili kanunue

1LUHAHO

2MLIPU

3MCHEKA

4MWINAMO

5MVUTE

6KINAMATA.

dawa hii itumie kwa kuchoma kama sehemu yako ya biashara inaruhusu kuchoma , pakaa dawa hii kila siku asubui ila ukiwa umechanganya kwenye mafuta NAZI , ndugu yangu pakaa kwa manuizi ya mvute hata kama wewe kazin kwako hukuwai kupanda cheo basi hii ni mwisho wao utapanda , na umefukuzwa kazi alafu huelewi kuwa nini sababu basi hili ni ponyo sina mengi fanyeni ili mufaidike na nyinyi ndugu zangu🙏🏽.
duuuuh izo dawa ata moja siijui
 
Uzi umekufa kifo cha mende. Hakuna mirejesho wala nini
 
MVUTO WA AJABU WA BIASHARA .
DAWA KIBOKO YA MVUTO.

dawa hii ni ya miti dawa hii ni kibojo ya biashara kama wewe ni mama ntilie(muza chakula) mfanya biashara wa aina yoyote basi hili ni bomu lako ili likulipukie , hii dawa niliwai toa humu kipindi hicho na watu waliizarau kwakua hawakuniamin lakin hii nasema utaangaika nadawa za mivuto hili ni bomu kama wewe una frem, kilinge, biashara ya kutembeza , umachinga nk haki ya allah iko juu yetu wana imani nae ni mwingi wa muelevu nenda duka la asili kanunue

1LUHAHO

2MLIPU

3MCHEKA

4MWINAMO

5MVUTE

6KINAMATA.

dawa hii itumie kwa kuchoma kama sehemu yako ya biashara inaruhusu kuchoma , pakaa dawa hii kila siku asubui ila ukiwa umechanganya kwenye mafuta NAZI , ndugu yangu pakaa kwa manuizi ya mvute hata kama wewe kazin kwako hukuwai kupanda cheo basi hii ni mwisho wao utapanda , na umefukuzwa kazi alafu huelewi kuwa nini sababu basi hili ni ponyo sina mengi fanyeni ili mufaidike na nyinyi ndugu zangu[emoji1431].

Santeee
 
Back
Top Bottom