Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Kwa wale wanaochoma dawa dukani, NI MBINU GANI MNATUMIA ILI KUKOZA MOTO KWA MUDA MFUPI?? AU MNATOKA NA MOTO MAJUMBANI???

MNATUMIA NJIA GANI KUCHOMA DAWA?? Naombeni uzoefu wenu, ukiona nongwa kujibu hapa njoo hata pm
 
Mliulizia Leaf of Life ndio huo,
Wengine huita Msharifu, wengine Mchawi hana Akili,
Inatibu sikio pia, jani unapasha moto unadondoshea maji yake kwenye sikio na kifua ni hivyo hivyo.
close-up-bryophyllum-pinnatum-life-plant-miracle-leaf-kalanchoe-pinnata_595440-431.jpg
 
Kama una mwanaume na hakutaki Tena yaan haitaji mapenz na wewe Tena unaishi nae hapo nyumbn na kila siku haishi kukwambia nimekuchoka uondoke shoga usihangaike dr matenyula herbalist 🌱🌳 nipo niombeeni uzima tu na afya njema fanya ivi oga kwanza mwili wako uwe msafi na chumvi ya mawe kwa siku tatu mfululizo Kisha changanya ulezi ufuta na mafuta ya ng'ombe choma katika chumba chako Kisha kifunge icho chumba na iwe saa Saba au name mchana akija akavuta ULE Moshi imeisha iyo pia safisha nyumba yenu kwa kununua maji mapya ya kunywa nuiza unavyo taka Kisha dekia nyumba yako na uoge pia🙏🙏🙏🥰🥰🥰
By Dr matenyula herbalist 🌱🌳 mkali wa izi kazi 😂🔥
Tunapatikana morogoro mjini
Kwa tiba zaidi call
 
WANAWAKE WENGI MNOOO WAMEKUWA NATATIZO LAKUWASHWA SRHEMU ZA SIRI NA HATA MWILIN WAMETUMIA DAWA ZA HOSPITAL ILA BADO TATIZO LINAKUWA LIPO MUNGU ALIIUMBA MIMEA ITUMIKE KWA CHAKULA,MATUNDA PIA DAWA USIHUZUNIKE MWANA MAMA,MWANA DADA ZIKO DAWA MUNGU KATUUMBIA KAMA ZAWAD KWA SISI WAJA WAKE HAZINA UCHAWI,HAZINA MASHARTI TUMIA MUOMBE MUNGU UTAKUWA SAWA HATUA:TAFUTA MAJAN MABICHI YA MPALACHICHI YATWANGE KTK KINU HADI YALAINIKE
2-ANDAA MAJI SAFI YACHEMSHE MAJAN HAYO NUSU SAA
3- EPUA PIMA KATIKA KIKOMBE CHA CHAI KUNYWA MARA TATU KUTWA MENGINE UNANAWIA KWA BIBI UKISHAMALIZA KUOGA HAKIKISHA UMEYACHUJA,VIZURI
4- MUNGU ATAWEKA BARAKA ZAKE UTAKUWA SAFI
5-HATA KAMA ULIKUWA NATATIZO LAKUTOA HARUFU MBAYA ITAKATA.
6-ENDELEA KUTUMIA SIKU TANO KWA WENYE MASWALI.

By Dr matenyula herbalist 🌱🌳 mkali wa izi kazi 😂🔥🔥.
Tunapatikana morogoro mjini.
Kwa tiba zaidi na ushauri piga sim
 
Watalaamu mi naomba dawa ya kuzuia jipu yani lipotee lisiive, nshatokea jipu nikakamua hospital lakini linarudia tena....hapa leo najisikia tena dalili 🥺 naombeni kama tiba ipo

BIN NUN Crocodiletooth et al please
 
Kama una mwanaume na hakutaki Tena yaan haitaji mapenz na wewe Tena unaishi nae hapo nyumbn na kila siku haishi kukwambia nimekuchoka uondoke shoga usihangaike dr matenyula herbalist 🌱🌳 nipo niombeeni uzima tu na afya njema fanya ivi oga kwanza mwili wako uwe msafi na chumvi ya mawe kwa siku tatu mfululizo Kisha changanya ulezi ufuta na mafuta ya ng'ombe choma katika chumba chako Kisha kifunge icho chumba na iwe saa Saba au name mchana akija akavuta ULE Moshi imeisha iyo pia safisha nyumba yenu kwa kununua maji mapya ya kunywa nuiza unavyo taka Kisha dekia nyumba yako na uoge pia🙏🙏🙏🥰🥰🥰
By Dr matenyula herbalist 🌱🌳 mkali wa izi kazi 😂🔥
Tunapatikana morogoro mjini
Kwa tiba zaidi call
Ndio wewe au ni cnp
 
Back
Top Bottom