Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Wakuu nina ndugu yangu ameenda hospital ameambiwa kongosho lake halitemi vizuri na hali iliyopelekea macho kuwa ya njano na mwili kupungua kwa kasi sababu tumbo lilikua linajaa gesi hivyo chochote atakacho kula atakitoa na zaidi hivyo kawa dhaifu sana.
Nisaidieni mimea ipi au matunda gani atapata Tiba
Crocodiletooth Magical power BIN NUN
na wakuu wengine majina yamenitoka.
Nisaidieni mimea ipi au matunda gani atapata Tiba
Crocodiletooth Magical power BIN NUN
na wakuu wengine majina yamenitoka.