Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Mkuu ni dawa ipi ya asili kwa wenye shida za masikio
Ishu ya masikio dawa
Bangi mbichi/ majani yake twanga upate maji dondoshea kitone Kila skio.
2. Chukua mafuta ya kuku wa kienyeji dondoshea tone Kila skio hrf twanga/ ponda majani ya mti wa mbaazi upate maji yake dondoshea pia tone moja kwenye masikio yote itapendeza wkt wakulala hata liwe Linatoa usaha! Dawa!
 
Wakuu naomba mwenye kujua dawa ya kuondoa uvimbe nyuma ya kichwa

Miaka kama minne nyuma nilienda pale legency hospital wakanitolea huo uvimbe na wakasema hautarus tena lkn cha ajabu umerud na hapa nimeona bora nitafute dawa mbadala ambayo itaondoa huo uvimbe nyuma ya kichwa

Ni uchafu fulan kama vimafuta huwa vinajikusanya nyuma ya kichwa na ukikipasua vinatoa harufu kali sn

Naomba mwenye kujua tusaidie mana muhim sn
 
Kama yupo kijijini mwambie apikiche majani ya tumbaku halafu apake kwenye nyayo za miguu..
Atalala huyo mpaka mkamwamshe.
Atafute namna ya kuondoa stress huyo pia.
Namwambia fasta .Asante
 
Hodi waungwana nauliza dawa ya kuondoa limbwata nahisi Kuna jamaa kanipiga limbwata naombeni mnisaidie maana Kila ninikipata hela haikai wakuu
 
mwenye kujua dawa ya mdomo kuwa mwekundu,kukauka na kuchanika chanika vyote kwa pamoja[emoji120]
 
Back
Top Bottom