Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

SOMO LA LEO….”

Dawa ya kuleta mvuto wa kupendwa
sana na mpenzi/mume/mke wako.

Dawa hii ni maalum kwa kumuweka mwenza wako
chini ya himaya yako.Ikiwa hutaki awe na michepuko
au vimada vya pembeni basi hii ndio mahala pake.
Kumbuka unapofanya dawa hii basi mtu huyo uwe
unampenda haswa kwani pindi utakapofanikiwa basi
mtu huyo hatoweza kufurukuta haijarishi
unamfukuza,unampiga au kumtesa kwa namna "

"yoyote ile ataendelea kukung’ang’ania na ndio hapo
utakapohisi karaha ya nafsi.
Mahitaji
❤️Picha ya muhusika
❤️ Kitambaa cheupe
❤️Godoro la kulalia
❤️Kitambaa cheusi
Namna ya kutengeneza.
Utachukua picha yake kisha ishike kwa mkono
wa,itazame kwa hisia kwa muda usiopungua dakika
tatu huku ukiwa unazungumza nayo kwa upole ukiwa
na hisia kama unazungumza na mtu aliyopo karibu
yako.Mwambie jinsi gani unahitaji akusikilize,awe
wako au vile utakavyo hitaji wewe katika mahusiano
yenu. Baada ya hapo izungushie kitambaa cheupe na
uiweke chini ya godoro unalolalia kwa muda wa siku
7,kisha siku ya nane itoe na uizungushie kitambaa
cheusi kisha weka chini na uikanyage mara saba.
Wakati unaikanyaga anza mguu wako wa kushoto
mara saba kisha fatisha na mguu wa kulia kanyaga
mara saba huku ukinuia kile ukitakacho."

"Kuanzia hapo tayari atakuwa chini ya himaya
yako.Sasa ukishamaliza hakikisha unaizika picha
hiyo pamoja na kitambaa chake sehemu nzuri
ambayo si rahisi mtu kuchimba na kuiona.
NB:Majibu ni kwa muda wa siku 7 hadi 14"

UNAPOFANYA KAZ HII HAKIKISHA HAUNA JINI MCHAFU , JINI MAHABA.

By magical power
IMG-20240623-WA0630(1).jpg
 
CHukua chumvi kidogo nyunyuzia kwenye mfuko wa nguo yako uliyovaa unavyotoka,siku yako itaenda vizuri na hutakosa hera hiyo siku.
IMG-20240623-WA0627.jpg
 
ZABURI 7

Inapata msaada wa Mungu ikiwa unasema kwa uchaji
wakati wa mahitaji, pia
hupata nafuu kwa wafungwa na kwa njia hiyo hiyo
inakuzuia kudanganywa Mdharimu YOYOTE yule na
inatumika dhidi ya maadui na dhidi ya mashtaka (KESI), ikiwa wewe ikiwa utabeba tarasim hii iliyo pichani apo
kubeba juu yako mwenyewe pamoja na tabia yake na na asali za muhusika,na ikiwa unafuatwa kutoka nyuma na maadui, chukua
Ama chota mchanga wa ardhi kidogo na usome Zaburi hii juu yake na uandike
ZABURI hii angani kwa kidoele cha shahada mstari mmoja tu na Akili juu yake unavyo taka iwe na kisha kutupa huo mchanga pamoja na ulichoandika ndani yake, kwenye
uso wa adui zako nao watarudi nyuma.

Tiba ingine ama pigo la adui.
Ikiwa una maadui maalum (unao wajua majina yao), chukua chombo cha udongo
vase na kuijaza na maji kutoka kwenye chemchemi au kutoka kwa mto
na ukariri kutoka kwa aya hii katika Zaburi soma mara nne
mpaka mwisho wa Zaburi hii
kisha uongeze juu yake sala hii
👇🏾👇🏾👇🏾

Mungu wangu, uwapige adui zangu
miguu yangu na kuikanyaga kama ulivyoleta
chini ya nyumba ya Ibrahimu na waikimbie
mbele yangu.
Kisha kutupa maji haya juu ya mahali juu yako (yaani yarushe juu yamwagike kwa kutawanyika)
maadui watapita na utawashinda daima.

KUSHINDA KESI.

Kama kushiriki katika kesi, wakati wa kwenda mbele ya
hakimu, rudia jina la alie kushtaki hakika utashinda ama kupata upendeleo: .



MAONI YAKE:

Zaburi hii inasomwa kabla ya kulala kama sehemu ya ibada
kupokea jibu wakati wa kulala. Ibada hiyo inahitaji siku tatu uwe umefunga,
usafi wa mwili na roho, na inajumuisha lako
na jina la adui Yako kwenye jani la mkuyu andika na wino wa maji waridi,
Mistari inayotegemea mistari ya Zaburi hii inatumiwa katika hirizi iliyo pichani
Maneno "Bahati mbaya itaanguka juu ya kichwa chako
na funika kichwa chako" (kulingana na aya ya Kuni na sita) ni
imeandikwa kwenye sahani ya risasi baada ya jua kutua, na hii ni fumigated
wakati sala hii inarudiwa mara saba, "Simama, Bwana,
kwa ghadhabu yako, ukajiinua kwa hasira juu ya adui zangu"
(kulingana na mstari wa sita).
Wakati ya izo siku tatu umefunga hii ndio iwe sala Yako kabla ya kufanya KAZI Yako siku ya 4.
Leo nimewapa vya uvunguni kabisaaaa😂😂😂.
IMG-20240623-WA0378.jpg
 
MTULIZE MKE/MUME/MPENZI.

Habarini zamudahuu nduguzangu,Je unasumbuliwa na mke/mume au mpenziwako hataki kutulia katika mahusianoyenu? Kama jibu ni ndiyo basi hunahaja yakuhangaika nakutumia nguvusana ili kumdhibiti,Chakufanya andaa athari za mtuhuyo kisha andaa mafuta na manyoya ya mkia wa kondoo pamoja na unga wa nyumba ya konokono na utachukua karatasi nyeupe na utaandika majina matatu ya mtuhuyo unaehitaji kumtuliza na utachukuwa na dawa inayoitwa kalimi kamwe,Mwinamo pamoja na inama nikuchume,Kisha vutu vyotehivyo viwekw katika chupa la kioo na utalifusha uban mashtak pamoja na uban zuhra kisha wakati unafanya zoezihilo utakuwa unasoma abjad×313 na ukimaliza utaweka niayako na chupahilo utalizika katika mlangowako au nyumba mnayoishi kwa manuizi unayoyataka,Hakika unapofanya zoezihili uwe msafi wa mwili na roho kwaujumla,Hakika majibu utayaona,Na kwawale wanaohitaji dawazotehizi zipo ambazo zimeshaaandaliwa wewe kaziyako nikuandika2 jina la muhusika nakuzika eneo husika.
 
Chukua Hiyo Kama Mtu Una Kess Kubwa Nzito Wajua Hiii Mtu Anakwenda Kuoza Gerezani Chukua Mbwa Mweusi Chukua Sanda Chukua Sindano 71 Chukua Bukhuri Shar Pata Majina ya Dpp Hakimu Na Wale Wote Watakao Hushika Kumtoa Yule Mtuhumia Fanya Kazi yako Zile Sindano Zikite Kwenye Mwili wa Mbwa Zote kwa Visomo Maalum Ukishamaliza Yule Mbwa Utamfunga Ile Sanda Utamzika Kama Wazika Mwanadam,Utamzika Yule Mbwa Kama Ni Msomi Utamsomea Mpaka utakapo maliza.
 
talasimu hiyo hapo juu uandikwa haswa siku ya jumanne...ukiiweka kwenye biashara ni nzuri sana kwa kuvuta wateja na miongoni mwa talasimu kama hiyo ndio haswa ambazo wafanyabiashara wengi wenye maduka hupewa na dalili moja wapo ya duka lenye kutumia talasimu kuvuta wateja utakuta duka linajaza sana na pengine kuna msululu wa maduka mengine lakini wateja wote hukumbilia kwake kwa kupanga foleni.
IMG-20240623-WA0207.jpg
 
بسم الله الرحمن الرحيم
بسم الله المميت الحبار
بسم الله القهار الديان
بسم الله رب العالمين
بسم الله بحق ابراهيم
بسم الله بحق علي
بسم الله بعظمة سيدنا محمد
بسم الله بحق موسى
بسم الله بحق هارون
بسم الله بحق عيسى
بسم الله بزلزل السحر
بسم الله بقتل الشياطين
بسم الله المؤخر
بسم الله بنور جبرائيل
بسم الله بنور اسرافيل
بسم الله بنور ميكاءيل
بسم الله بسم الله بحق محمد واله محمد

HII DUA ISOME USIKU MARA 21 BASI KAMA KUNA UCHAWI WOWOTE AU UBAYA WOWOTE ULIOKUWA KWAKO UTAONDOLEWA NA IKIWEZEKANA MAJIBU UTALETEWA KATIKA NDOTO
 
LEO NITAWAFUNDISHENI DAWA ITAYO KUFANYA UWE NA ULIMI MTAMU(MANENO ) YATAKAYO MVUTIA KILA MTU ATAYESIKIA UNACHOOONGEA KAMA MNAVOJU KUNA WATU MNANUKSI YAN MKIONGEA TU KAMA UNAOMBA ELA AU NDOA MTU ANAKUKIMBIA HAPOKEI SIMU NA KUBLOCKIWA KABISA SASA TULIA MJUKULU WANGU NIKWAMBIE;

Mahitaji
📌SUKARI vijiko viwili
📌Dawa ya mvuto vijiko viwili
__
Bandika jikoni sufuria Likipata Moto weka SUKARI yako Anza kuikoroga Endelea kuikoroga uku ukisema
Mimi Fran bin Fran nataka niwe na mvuto wa maneno na yawe matamu Kama hii SUKARI kila anayenisikiliza yamvuti ktk hitaji lolote unalotaka

Ukiona SUKARI imeyeyuka Tia dawa ya mvuto Anza kulamba Mchanganyiko huo

FANYA HATA KILA WIKI MALA MOJA MOJA AU MALA TANO MFULULIZO YANI SIKU TANO

Dawa ya mvuto inapatikana maduka ya asili (UKIENDA WANAJUA WENYEW NI IPI WE WAAMBIE NAOMBA MVUTO KIPIMO CHA BUKU)
Sukari ni sukari hizi za majumbani
Asanteni
 
UFUNGUO MDOGO WA SULEMAN

👉The Lesser Key of Solomon inatutaka au tunapewa kanuni hii-

Andika namba au Switch Code number 23 kila siku ukisha toka kuoga au baada ya kuoga kisha zzungushia hiyo namba circle au mduara

Namba hiyo andika kama ilivyo baada ya kuoga zungushia na hiyo Circle /mduara kila siku kwa siku 23.

Tumia Biki ya Bluu, Nyekundu au kijani tu.

Kwahiyo anza leo mpaka Tarehe 1/8 utatimiza hizo siku 23.

BAADA YA HAPO UTAONA MAAJABU.. YOU WILL SEE THE MAGIC.

Mmoja ataniuliza nini nitakacho kiona?

Kanuni ya Ufunguo mdogo wa Suleman au THE LESSER KEY OF SOLOMOM haijatuambia moja kwa moja nini kitatokea

Kanuni hiyo imesema baada ya kufanya hivyo kwa siku 23 you will see the Magic. Only dat.

SASA NJOO TUJARIBU TUONE WHAT WILL HAPPEN.

Ukizarau unaweza kupishana Na donge nono Njoo Tujaribu tuone what will happen

NOTE: THE LESSER KEY OF SOLOMON PIA NI KANUNI ZA FREEMASON WANAZITUMIA NA WANACHO KITABU CHENYE JINA HILO.
1720514185353.jpg
 
Back
Top Bottom