Uzi maalumu wa Misemo ya Yanga baada ya kufungwa na Simba na kupoteza Ngao ya Hisani



Sasa sijui wewe ni Yanga au umbea ndo unakusumbua
 
Twin BRN kushinda mmeshinda ila mbona kama hamjiamini? Wenzenu siye, huwa tukinyanyua kwapa ni full kufurahia. Nyinyi mna masikitiko sana.
 
Aisee Rage anatakiwa ajengewe sanamu la kumbukumbu mapema iwezekanavyo, kutokana na yale maneno yake kuendelea kuishi mpaka leo. Eti Yanga ilifungwa magoli 3 na simba!!

Yaani mchezo uliamuliwa kwa mikwaju ya penati baada ya timu zote kutoshana nguvu ndani ya dakika 90! Wewe unakuja na uongo wako huku ukiwa huna hata tone la aibu!
 
Wamatopeni Naona Mmeotea Basi Uzi Kila Mahala.

Kweli Masikino Akipata Matako Ulia Mbwata.
 
Msemo mwingine huu ....
 
Juzi hatukuwa na mvua, jana hatukuwa na mvua, leo hii mvua imetoka wapi??
 

Attachments

  • VID-20230816-WA0005.mp4
    5.5 MB
Kauli ya Manara ina ukweli sana, huko ni wawili tu. Baada ya dakika 90 kwa hiyo Diara pale langoni alikuwa anazuia ili isiwe nini kama sio magoli?
 
Cry more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…