Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tukubaliane kuita kipi?Aisee Rage anatakiwa ajengewe sanamu la kumbukumbu mapema iwezekanavyo, kutokana na yale maneno yake kuendelea kuishi mpaka leo. Eti Yanga ilifungwa magoli 3 na simba!!
Yaani mchezo uliamuliwa kwa mikwaju ya penati baada ya timu zote kutoshana nguvu ndani ya dakika 90! Wewe unakuja na uongo wako huku ukiwa huna hata tone la aibu!
Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani.
Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024.
Baada ya mechi hiyo kumekuwepo na maneno na misemo ya kujifariji kutoka kwa mashabiki wa Yanga na wale mashabiki mamluki wa Simba.
Uzi huu ni Maalumu kwa ajili ya kuweka misemo hiyo;
~ Yanga ilicheza vizuri kuliko Simba
~ Penalty hazina mwenyewe
~ Ally Salim alikuwa nje ya mstarii
~ Simba dhaifu
~ Simba wameshinda lakini hawana furaha
Haya wadau tuendelee kutiririka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo unajua kutoa chozi best, LolAisee Rage anatakiwa ajengewe sanamu la kumbukumbu mapema iwezekanavyo, kutokana na yale maneno yake kuendelea kuishi mpaka leo. Eti Yanga ilifungwa magoli 3 na simba!!
Yaani mchezo uliamuliwa kwa mikwaju ya penati baada ya timu zote kutoshana nguvu ndani ya dakika 90! Wewe unakuja na uongo wako huku ukiwa huna hata tone la aibu!
We hukuona mkude simba akiwapa maelekezo kina aziz kiKocha wa Yanga angemsikiliza Kapt saa hizi tungekuwa tunacheka....
Simba hawana timu ya maana.nyau kujifariji bwana huku wanajua kabisa hawana timu ya maana
🤣🤣Kwenye ligi hakuna penati
Mm Ni YANGA ila dahh SIMBA MMETUKOMESHA