Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumishi unaonekana una library kubwa sana ya nyimbo za gospel. Kama hutojali naomba link ya google drive kwenye email yangu hsnaturalfertility@gmail.com.Amen... nafuraha kukuona tena ..
View attachment 3049334
Kweli kabisa huyu mtumishi inaonekana ana nyimbo za kutosha kwenye maktaba yake.Mtumishi unaonekana una library kubwa sana ya nyimbo za gospel. Kama hutojali naomba link ya google drive kwenye email yangu hsnaturalfertility@gmail.com.
Hebu tupia ka gospo kamoja Jioni yangu iende vizuriii lo😊!
Ee Bwana,ukae nami milele🙏🙏
Nahisi hii ni sauti ya Paul mwangosi
Mie napenda zaidi Chants kama hizi huwa ni 🔥🔥 au spontaneous worship songsNasikiliza sana composed songs za worship alizoimba Apostle Joshua Selman ambazo Huwa anaimba katika ya ibada.
Ni ndefu za saa moja mpk 4 nyingine
Katika Yote, Napenda sana nyimbo za kuabudu
Kama unazo nyingine boss ... Chants ni tamu sana kusikia kipindi unaomba. Unajikuta unanenaa kwa lugha na kizama RohoniMie napenda zaidi Chants kama hizi huwa ni 🔥🔥 au spontaneous worship songs
View attachment 3200979
Kama unazo nyingine boss ... Chants ni tamu sana kusikia kipindi unaomba. Unajikuta unanenaa kwa lugha na kizama Rohoni