Uzi Maalumu wa Nyimbo za Injili (Gospel Music Special Thread)

Mkuu ubarikiwe sana kwa mchango wako wa nyimbo kwenye jukwaa hili pendwa la mkusanyiko wa nyimbo za injili.
 
Reactions: K11
Ubarikiwe sana mkuu kwa mchango wako wa nyimbo kwenye jukwaa hili pendwa. Tusubiri wengine nao waje wasikilize na pia waongeze nyimbo zaidi. God bless you. Amen.
Amen.

Tukijaliwa neema tutaendelea kuongeza nyimbo nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…