Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

Iqra = soma!!!
Ni muhimu sana kusoma kwa sababu ;
2e447511b9f6f81d6968bfa043c13428.jpg


Ni rahisi mno mtu kugeuzwa na kuangukia katika upotofu sababu hakupata elimu sahihi .Vile vile imani pamoja na vitendo vya mtu houngekeza na kuwa vizuri zaidi kutegemeana na elimu aliyokua nayo .
 
Back
Top Bottom