malizia aya acha kujizima data, mwendelezo unasema ikiwa watapendelea zaidi ukafiri juu ya imani...Koran 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu...
Haibadilishi Chochote, kikubwa ni Allah kaweka chuki Kwa mtu ambae aio Muslimmalizia aya acha kujizima data, mwendelezo unasema ikiwa watapendelea zaidi ukafiri juu ya imani...
Hilo liko wazi, hatuna mapenzi nao ya ndani na hatuwafanyi marafiki wa ndani kabisa, ila tunaweza kufanya nao biashara na miamala mingine isiyohusiana na dini.Haibadilishi Chochote, kikubwa ni Allah kaweka chuki Kwa mtu ambae aio Muslim