Uzuri wa app naikubal una scroll down tu kusaka nyuz hakuna limitDuh ! sijui kwa nini sijawahi kupata mzuka na app mimi chrome kila siku au browsers nyingine ,mambo safi hakuna shida yeyote.
Wengine tuishipo huku hata jf yenyew hawajui ni kitu ganKweli ,ila sitaki kujulikana kama nipo Jf app itanichoresha .