Uzi Maalumu wa Viatu, Tupia kiatu Unachopenda, Ulichovaa, Unachotafuta..

Uzi Maalumu wa Viatu, Tupia kiatu Unachopenda, Ulichovaa, Unachotafuta..

Pantomath

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
842
Reaction score
3,449
MODS : Huu uzi msijemkauhamisha unafiti hapa.

NOTE hapa hatutangazi biashara, kama unatangazo lako unataka uuze kiatu/viatu fungua uzi.

Kiatu ni sehemu muhimu sana katika uvaaji,
Ni sehemu ambayo unapokutana na mtu, kama ataanza kuangalia juu ila point kubwa basi atamalizia mguuni..

Unapo vaa vizuri ukapendeza(kupendeza ni suala la mtazamo binafsi) basi tendea mguu wako nao haki umalize kabisa..

Nisiwachoshe..

Tupia kiatu ulichovaa...
Kiatu/viatu ulivyonavyo,
Kiatu unachopenda, labda ulikiona sehemu, unakitafuta waweza upate msaada humu n.k

Usiweke picha yako nzima, uzi utabadilisha maana.
Ukiweka nusu kuonesha ulivyovaa na kukukaa mguuni sio mbaya..

Sendo/kiatu cha wazi sio mbaya pia....

Soon nakuja na picha zangu
Screenshot_20200607-160911.jpg
 
Hiki ninacho mimi tu hapa Africa,mwingine mwenye nacho alikuaga ni Don William.
Screenshot_20200607-162004.jpeg
 
Viatu vya kitamaduni , vya asili ya mababu zetu
Hivi huwa ni vya kuendea Chooni(uani) tuu si vya kutembelea mitaani
 
Back
Top Bottom