Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sisi kwetu ugali wa lowe ni snacks tu main course saa saba hapo inaletwa nguna ya kufa mtu hafu mko mtu nne..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Siku hizi tunaambiwa yana chorestrol nyingi wakati miaka yote watu wanayala. Halafu mawese yakiungwa kwenye maharage ya Kigoma (njano orijino ) ni hatari lkn salama.
Siku hizi tunaambiwa yana chorestrol nyingi wakati miaka yote watu wanayala. Halafu mawese yakiungwa kwenye maharage ya Kigoma (njano orijino ) ni hatari lkn salama.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hivi mkuuSiku hizi tunaambiwa yana chorestrol nyingi wakati miaka yote watu wanayala. Halafu mawese yakiungwa kwenye maharage ya Kigoma (njano orijino ) ni hatari lkn salama.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Wakati watu kama akina Safuha mng'ato Beef Lasagna hiki ndio chakula chao cha asili
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hapo mate yanakutoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ugali wa lowe na ngege
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mapishi ya mama yangu kabisa.. imagine unapata kaugali ka muhogo kwa dagaa hizo. Hivi utakumbuka hekaheka za CCM na vyuma vya ankoo maguu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Migebuka mikavuu.. mikeke
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk