Uzi maalumu wa vyakula vya mkoa wa Kigoma (Dagaa na migebuka)

Mtama Wabhonye πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜ƒ
Iviligwa
 
Kigoma πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„
 
Kwa kweli kigoma imebarikiwa sijauona MWANAIDI

najua mmenielewa
 
Umeacha Sinuka, Kasuku, Katonga na Kalalangabo.

Vv
 
Daah Kwakweli pasingekua uchawi nisingehama kigoma

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Dogo, unataka kutuaminisha kuwa Kigoma yote ni wachawi? Mbona wengine tumeishi huko miaka mingi tu na uchawi haijuwahi kutupata?

Vv
 
Hii itakua njia ya kwenda kibirizi, naiona ocean view kwa mbaliii
 
Siku hizi tunaambiwa yana chorestrol nyingi wakati miaka yote watu wanayala. Halafu mawese yakiungwa kwenye maharage ya Kigoma (njano orijino ) ni hatari lkn salama.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mawese nilishindwa, kuna demu wa kikongo nilikua nae basi menyu ni kisamvu nyama mawese,kisamvu samaki mawese daily nikatoka baru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…