Uzi maalumu wa wamama wajawazito

Uzi maalumu wa wamama wajawazito

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,592
Reaction score
2,381
Habari zenu.

Napenda kuleta mbele yenu Uzi huu ili tujadili kwa kina mambo muhimu ya kuzingatia kwa mwanamke akiwa na ujauzito ikiwemo vyakula na matunzo mbalimbali mpaka anajifungua ili tuweze kufahamu mengi ambayo tulikua hatuyafahamu.

Kwahiyo nawakaribisha tushee ujuzi na mambo mengine mbalimbali kwa kundi hili la wanawake.kwani itatoa mwanga kwa vijana ambao ndio tunaanza family.

Nawasilisha
 
Nasubiria Kichanga tupime DNA, sina uhakika, niliwapanga kama watatu hivi...
Signal yangu haisomi kabisa ila kila ikisoma jina linatoka la kaka tuuu hao wengine wapakaza majasho tuuuuu[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Back
Top Bottom