Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,381
Habari zenu.
Napenda kuleta mbele yenu Uzi huu ili tujadili kwa kina mambo muhimu ya kuzingatia kwa mwanamke akiwa na ujauzito ikiwemo vyakula na matunzo mbalimbali mpaka anajifungua ili tuweze kufahamu mengi ambayo tulikua hatuyafahamu.
Kwahiyo nawakaribisha tushee ujuzi na mambo mengine mbalimbali kwa kundi hili la wanawake.kwani itatoa mwanga kwa vijana ambao ndio tunaanza family.
Nawasilisha