Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kama jinsi ambavyo kichwa cha uzi kinavyojieleza.
We sema tu, mwaga yoote, zungumza ili mradi machungu yaishe, sema, paza sauti yako, payuka uwezavyo, lia sana na sana, itapendeza kama utakuwa ndani ya uzi huu huku ukiwa chumbani kwako, umejifungia kabisa, huku unatiririsha chozi taratibu, pembeni kuna ka bufa uchwara kanapaza sauti ya celine Dione! [emoji41]
Lazima tuseme, lazima tupaze sauti zetu ili tupeane moyo na kucheka pamoja! Hawa viumbe hawatabiriki [emoji24][emoji24] Huko majumbani kwetu tunakosa pa kusemea, tunabaki nayo moyoni, tunatanuka mioyo yetu tunakufa mapema! Bora tuyaongee yote hapa! Kwa kuwa tunatumia fake ID's, acha tuzungumze!
Mwenzenu nshapigwa tukio muda huu na binti ambaye sikutarajia kiukweli!
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Dah!
Karibuni tutiane moyo!