Uzi maalumu wa watia nia wa Udiwani na Ubunge wa Uchaguzi Mkuu.

Uzi maalumu wa watia nia wa Udiwani na Ubunge wa Uchaguzi Mkuu.

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,793
Reaction score
4,935
Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale ambao hawakujitangaza kwa kuogopa rugu la chama kuanza kampeni kabla,sasa ni Wakati wao huu wa kuweka wazi dhamira zao za kutaka kuwatumikia wananchi.
NB:Tunasubiri hatima ya No reform no Election,naamini kwa uweza wa mwenyezi Mungu tutaungana nao hapa.
 
Back
Top Bottom