Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Uzi haukuhusu huu
Kweli tena..usitake tufaidishe kuku na ikiwa mchele umepanda bei ujueHahaha acha hizo
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Tuko full sana
Ntapita na huko kaka yanguKaribu.. Ukijiskia kupitia Pm za kaka zako pia kuwapea Hi! Sio mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi brazaHiyo Kaka isizid sana sasa, tusije tukamaanisha![emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] braza akeeAtleast hilo linafaa kwa matumizi[emoji1][emoji1]
🤣🤣🤣🤣Ni aibu pia kwa mwanaume kuchangia bandiko hilo
Safii sana kakakeeNiaje dogo? [emoji7][emoji7]
Natamani nikuone TaterKuna mtu nilimtumia picha yangu.. 'tater hebu acha utani, nitumie picha yako na si ya watu wenye sura za ajabu ajabu'.. Sasa sijui nani alikua ana utani nae..
hio kwenye dp ndio sura ngumu?Nmeona uzi wa wenzetu jinsia pendwa wakitiana moyo na kufarijiana nkaona si mbaya pia na sisi wa upande wa pili tukipongezana na kuelezana changamoto mbalimbali tunazokabiliana nazo hasa kwenye mahusiano, pia tukipeana mbinu za kuruka viunzi vya Mbebez hasa inapotokea hatuna Pesa
My View: Wanawake wengi wamekuwa wakitupaka mafuta kwa migongo ya chupa huku kwenye mitandao kwamba wanatukubali sana lakin nmejaribu kutafiti kidogo nkaona wanatusare tu watupige mtonyo lakin mwisho wa siku wanatumia hata pesa zao kuwapea Masharobaro na kuamua kuwazalia watoto bila kuwa na kona mingi
Karibuni, usiache kutupia hata sifa mbali mbali kuhusiana na hii jamii..
Naanza na > Upendo wa dhati...tunaogopa sana kupoteza