UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

G.Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
1,040
Reaction score
2,157
Nmeona uzi wa wenzetu jinsia pendwa wakitiana moyo na kufarijiana nkaona si mbaya pia na sisi wa upande wa pili tukipongezana na kuelezana changamoto mbalimbali tunazokabiliana nazo hasa kwenye mahusiano, pia tukipeana mbinu za kuruka viunzi vya Mbebez hasa inapotokea hatuna Pesa
My View: Wanawake wengi wamekuwa wakitupaka mafuta kwa migongo ya chupa huku kwenye mitandao kwamba wanatukubali sana lakin nmejaribu kutafiti kidogo nkaona wanatusare tu watupige mtonyo lakin mwisho wa siku wanatumia hata pesa zao kuwapea Masharobaro na kuamua kuwazalia watoto bila kuwa na kona mingi
Karibuni, usiache kutupia hata sifa mbali mbali kuhusiana na hii jamii..
Naanza na > Upendo wa dhati...tunaogopa sana kupoteza
 
Tumekuja kiongozi...
 

Attachments

  • 4FC59565-9525-46B1-9B6D-602C1F9ACADD.jpeg
    4FC59565-9525-46B1-9B6D-602C1F9ACADD.jpeg
    9.6 KB · Views: 82
Back
Top Bottom