Uzi mpya wa Yanga: Tofauti ya wanaovaa na wanaostiri mwili

Bonge moja la Uzi. Huu ndio ubunifu. Ameutendea haki huu Uzi.

Mtaa wa pili wamepigwa bao 5 tena. Wameanza nako kushikana uchawi. Hapo sijui nani atakuwa mbuzi wa kafara trip hii
 
IMG_8779.jpeg
 
Jezi nzuri nimeinunua moja,ila sijapenda pembeni mwa bega kuandikwa The Royal tour,sijaona mantiki yake bora wangeandika tu Visit Tanzania
 
Uzi wenyewe tu unaweza sababisha timu pinzani ikaweka mpira kwapani kwa kuiogopa team yaani uko quality & quantity. Kongole kwa Wananchi [emoji870]
 
Uzi ni uchawi tosha

Aaahaa
 
Bonge moja la Uzi. Huu ndio ubunifu. Ameutendea haki huu Uzi.

Mtaa wa pili wamepigwa bao 5 tena. Wameanza nako kushikana uchawi. Hapo sijui nani atakuwa mbuzi wa kafara trip hii
Pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom