Uzi mpya wa Yanga: Tofauti ya wanaovaa na wanaostiri mwili

Uzi mpya wa Yanga: Tofauti ya wanaovaa na wanaostiri mwili

Mimi naamini ktk hilo kila mmoja kwa kadiri ya mapenzi yake ataiona jezi ya timu yake ni Nzuri hapo ukitaka ukweli aje mtu wa nnje ya ushabiki atuambie kama ni sisi Simba au wao Yanga? Nitabakia ya kwamba jezi yetu Simba ni nzuri sana.
Sawa mkuu
 
Ndio binafsi sijaipenda... Huwa sipendi nguo yenye marangirangi mengi Tena ambayo hayajakaa kiustadi ama kiufundi! Hizo rangi mbili naona hazijakaa kiufundi but anyway mwisho wasiku wachezaji watuletee makombe nyumbani hayo mengine mbwembwe tu..
Kama huzipendi hizo, vaa lile Gagulo au Kaniki lililoandikwa MO Extra hadi kwenye makalio.
 
Back
Top Bottom