Mimi naamini ktk hilo kila mmoja kwa kadiri ya mapenzi yake ataiona jezi ya timu yake ni Nzuri hapo ukitaka ukweli aje mtu wa nnje ya ushabiki atuambie kama ni sisi Simba au wao Yanga? Nitabakia ya kwamba jezi yetu Simba ni nzuri sana.
Ndio binafsi sijaipenda... Huwa sipendi nguo yenye marangirangi mengi Tena ambayo hayajakaa kiustadi ama kiufundi! Hizo rangi mbili naona hazijakaa kiufundi but anyway mwisho wasiku wachezaji watuletee makombe nyumbani hayo mengine mbwembwe tu..