Uzi mweupe wa Simba Sports ni wa moto, wana simba kaeni mkao wa kula

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee.

Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali.

Ikitokea hujauelewa niulize mimi
 
Simba waoga sana, huwa wanasubiri yanga afanye ndio wao wafanye,

iwe jezi, siku ya mwananchi, kutangaza bajeti, n.k.

Yanga jezi zimezinduliwa jana malawi na Raisi alipewa yake, Simba nawasubiria waende nao ikulu kama wataweza.
 
Na hata bajeti yao, kwanza walisema 13B, lakini Yanga walipotangaza, wakasema wao ni 24B..!! Wana mihaho sana na mambo ya Yanga hawa mbumbumbu FC
 
Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee.

Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali.

Ikitokea hujauelewa niulize mimi
Umewadharau Simba mpaka unawauzia Ng'ombe mlio?

Kweli akutukunaye hakuchagulii tusi.
 
Simba waoga sana, huwa wanasubiri yanga afanye ndio wao wafanye,

iwe jezi, siku ya mwananchi, kutangaza bajeti, n.k.

Yanga jezi zimezinduliwa jana malawi na Raisi alipewa yake, Simba nawasubiria waende nao ikulu kama wataweza.
Acha wendawazimu nani mwanzilishi wa matamasha si Simba day yanga wachumba tu wanamuiga Simba
 
Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee.

Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali.

Ikitokea hujauelewa niulize mimi
Uzi bila picha ni sawa na utamu bila ya utelezi,hainogi
 
Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee.

Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali.

Ikitokea hujauelewa niulize mimi
Umechungulia wapi kama siyo mwanga wewe?
 
Simba waoga sana, huwa wanasubiri yanga afanye ndio wao wafanye,

iwe jezi, siku ya mwananchi, kutangaza bajeti, n.k.

Yanga jezi zimezinduliwa jana malawi na Raisi alipewa yake, Simba nawasubiria waende nao ikulu kama wataweza.
Tulia wewe Simba ndio lesson you have been learning every day.
1. Issue za Digital Simba leo tu ana followers 5m wakati nyinyi ndo mna 2.6m Insta...
2. Simba ndio mwanzilishi wa Simba Day mkaiga...
3. Simba kaanzisha ki spika mtaani mkasema mashabiki wenyewe hawamjui Aziz Ki but mwishoni mkaiga.
4. Na mambo kibao.
 
Umefanikiwa afu unakuja na porojoo bila picha?.
 
Simba waoga sana, huwa wanasubiri yanga afanye ndio wao wafanye,

iwe jezi, siku ya mwananchi, kutangaza bajeti, n.k.

Yanga jezi zimezinduliwa jana malawi na Raisi alipewa yake, Simba nawasubiria waende nao ikulu kama wataweza.
Thithi Nganda Makolo jedhi dhetu tutadhindulia IKULU ya Recep Tayyip Erdogan
 
Hamna jezi hapa
20230706_144014.jpg
 
Back
Top Bottom