Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwani ni timu ipi ilianzisha utamaduni huo? Basi iliyoiga ilitakiwa ivizie baada ya Simba badala ya kulalamika eti Simba wanajichelewesha. Simba walianza na Simba Day na wakaifanya iwe tarehe 8 Agosti kila mwaka. Eti kwa kuwa Yanga imekuja baadaye ikaanzisha kilele cha mwananchi, ndio Simba ivuruge tarehe yake? Eboo! Kama mnaona Simba inafaidi, basi wekeni kilele cha mwananchi baada ya tarehe 8 AgostiSimba waoga sana, huwa wanasubiri yanga afanye ndio wao wafanye, iwe jezi, siku ya mwananchi, kutangaza bajeti, n.k. Yanga jezi zimezinduliwa jana malawi na Raisi alipewa yake, Simba nawasubiria waende nao ikulu kama wataweza.