Uzi mweupe wa Simba Sports ni wa moto, wana simba kaeni mkao wa kula

Simba waoga sana, huwa wanasubiri yanga afanye ndio wao wafanye, iwe jezi, siku ya mwananchi, kutangaza bajeti, n.k. Yanga jezi zimezinduliwa jana malawi na Raisi alipewa yake, Simba nawasubiria waende nao ikulu kama wataweza.
Kwani ni timu ipi ilianzisha utamaduni huo? Basi iliyoiga ilitakiwa ivizie baada ya Simba badala ya kulalamika eti Simba wanajichelewesha. Simba walianza na Simba Day na wakaifanya iwe tarehe 8 Agosti kila mwaka. Eti kwa kuwa Yanga imekuja baadaye ikaanzisha kilele cha mwananchi, ndio Simba ivuruge tarehe yake? Eboo! Kama mnaona Simba inafaidi, basi wekeni kilele cha mwananchi baada ya tarehe 8 Agosti
 
Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee.

Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali.

Ikitokea hujauelewa niulize mimi
Mwaka huu msije weka Yale marangirangi yenu ya upinde
 
Mange Kimambi ana followers zaidi ya million 8, point yako ni nini hapa?
 
Simba waoga sana, huwa wanasubiri yanga afanye ndio wao wafanye,

iwe jezi, siku ya mwananchi, kutangaza bajeti, n.k.

Yanga jezi zimezinduliwa jana malawi na Raisi alipewa yake, Simba nawasubiria waende nao ikulu kama wataweza.
Mh unazingua mkuu hivi simba day na siku ya mwanachi kipi kilianza.
 
Matusi niliyomtukana Vunjabei mwaka jana tunaingia season ya pili
Sandaland we ni mbwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…