Uzi special: Mtongoze hapa ki-utu uzima mkamalizane live

Uzi special: Mtongoze hapa ki-utu uzima mkamalizane live

Kuna huyu dada mzuri nampenda toka zamani sana ila sijui kwa nini spendi kurusha mtongozo hapa JF, dada mzuri i love uuuu
 
Hii ni dalili ya watu kukosa shughuli za muhimu za kufanya...

Niache kutafuta pesa, nianze hangaika kutongoza mtu hata hujui kama ni choko, au muuza mbunye au hata ni kidume mwenzio...

Tafuta pesa, mambo mengine yakufuate ikiwemo 'wachuchu'
Hivi best upo?
Habari za miaka mingi
 
Back
Top Bottom