Uzi unaobeba michoro ninayochora kwa mikono yangu na kazi ninazojaribu kujifunza katika Adobe Photoshop

Upo vizuri sana kwenye linework.

Ingawa seems unatumia vifaa vya kawaida. But you are very good.
Kila kazi nayofanya nakua nazidi kujifunza zaidi... nimetumia Adobe photoshop 2018
 
Karibuni, kwa kutengenezewa Tangazo la biashara yako
 
Kuchora ni vitu ambavyo vilinishinda kabisa, uwezo wangu wa kuchora ni kama mtu ambaye alifeli hesabu ya 1+ 1
 
Karibuni mtangaze biashara kupitia kazi za graphics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…