Uzi unaobeba michoro ninayochora kwa mikono yangu na kazi ninazojaribu kujifunza katika Adobe Photoshop

Uzi unaobeba michoro ninayochora kwa mikono yangu na kazi ninazojaribu kujifunza katika Adobe Photoshop

Upo vizuri sana kwenye linework.

Ingawa seems unatumia vifaa vya kawaida. But you are very good.
Kila kazi nayofanya nakua nazidi kujifunza zaidi... nimetumia Adobe photoshop 2018
 
D-1.jpg
 
Kuchora ni vitu ambavyo vilinishinda kabisa, uwezo wangu wa kuchora ni kama mtu ambaye alifeli hesabu ya 1+ 1
 
Back
Top Bottom