Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,379
- 5,499
- Thread starter
- #221
Nipo Dar kwa sasa sina shughuli yoyote nipo nipo tu natafta nafasi nikafanye kazi kwenye hizi media mediaKazi nzuri, upo wapi kwa sasa? As in unashighulisha na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Dar kwa sasa sina shughuli yoyote nipo nipo tu natafta nafasi nikafanye kazi kwenye hizi media mediaKazi nzuri, upo wapi kwa sasa? As in unashighulisha na nini?
[emoji1]Rudi mzigoni tu mkuuMkuu upo vizur ngoja na mimi nirudi mzigoni
Upo vizuri sana kwenye linework.[emoji1]Rudi mzigoni tu mkuu
Kila kazi nayofanya nakua nazidi kujifunza zaidi... nimetumia Adobe photoshop 2018Upo vizuri sana kwenye linework.
Ingawa seems unatumia vifaa vya kawaida. But you are very good.
Haha ila ukifanya kitu kwa kukipenda lazima tu utakijuwaKuchora ni vitu ambavyo vilinishinda kabisa, uwezo wangu wa kuchora ni kama mtu ambaye alifeli hesabu ya 1+ 1
Naonaga maajabu tuu, naweza pembetatu, mistali na vibox tuu, hongera sana and keep it upHaha ila ukifanya kitu kwa kukipenda lazima tu utakijuwa
Haha haya sawa mkuu nashukuruNaonaga maajabu tuu, naweza pembetatu, mistali na vibox tuu, hongera sana and keep it up