D Dzigbode JF-Expert Member Joined Feb 15, 2023 Posts 204 Reaction score 376 Jul 3, 2026 #1 Salam kwenu wakuu. Nimeanzisha uzi huu tuweze kupeana connection za kimaeneo na fursa zilizopo kwa sisi watafutaji na watu wa kujilipua. Karibuni tujadili Kwa upande wangu nipo tukuyu. Fursa za ndizi, na tangawizi zipo za kutosha.
Salam kwenu wakuu. Nimeanzisha uzi huu tuweze kupeana connection za kimaeneo na fursa zilizopo kwa sisi watafutaji na watu wa kujilipua. Karibuni tujadili Kwa upande wangu nipo tukuyu. Fursa za ndizi, na tangawizi zipo za kutosha.
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 7,875 Reaction score 12,665 Jul 3, 2026 #2 Kuna fursa nyingine hapo 7/7 muone mwenyekiti wa cdm