Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Nimezaliwa nae siku moja na ni mtu ninayempenda sanaKwa hiyo wewe ndo hiyo wa kwenye picha mkuu???
Ata kama ni yeye kwa iyo utafanyajeKwa hiyo wewe ndo hiyo wa kwenye picha mkuu???
Karibu kama upo Dodoma uje kwenye chakula cha jioni Mkuu![emoji15] [emoji15]
Unajua kbs sio yeye alafu unataka kuanza usumbufuKwa hiyo wewe ndo hiyo wa kwenye picha mkuu???
Hbdy mkuu!! HongeraNimezaliwa nae siku moja na ni mtu ninayempenda sana
Hahahaha!! Duuh yaani japo tu imekuuuuuma sanaAta kama ni yeye kwa iyo utafanyaje
Ni yeye sasa!![emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitatoa wishes kwa wote ila kwa Atubu mtanisamehe
Hahahaha umembana mbavu mamaeeeee!!!Mbona dp kama delicious?? Huu uzi ni wa kipuuzi na aibu kwa mwanaume kuanzisha..jitambue dogo..rubbish
Ukiwa mwanaume unakuwa hauna siku ya kuzaliwa?mkuu acha wanaume wa kizamani!Mbona dp kama delicious?? Huu uzi ni wa kipuuzi na aibu kwa mwanaume kuanzisha..jitambue dogo..rubbish
Usiniqoute mm ww msukuleUkiwa mwanaume unakuwa hauna siku ya kuzaliwa?mkuu acha wanaume wa kizamani!
Mkuu ntakupa adhabu ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiniqoute mm ww msukule