Uzi wa happy birthday zote 2018

Uzi wa happy birthday zote 2018

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,493
Habari za kazi Wakuu......

Kama Kichwa cha habari hapo juu huu Uzi ni wa kupeana hongera ya siku za kuzaliwa kwa tarehe zote mwaka mzima.

Leo tunaanza na mimi nawakaribisha wote mliopo Dodoma Mjini kwenye Chakula cha jioni maana ni siku yangu ya kuzaliwa

January. 07 pia nilibahatika kuzaliwa na huyu mtu mwenye akili nyingi

33634c6803ab4a008e026bafacecde83.jpg
 
Umekosea, ungeanzisha tarehe moja ili uwatendee wote haki. Kwakuwa umechelewa basi huu uzi ni wako peke yako kwa siku ya leo.
 
Back
Top Bottom